Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
-
- #61
Naona unalazimisha hoja.Iran (umesahau shaheed drones)
China
Belarus
Hao sio washirika wa Urusi?.....
Mnalazimisha TU kujipa moyo.Ile convoy ilikuwa msafara wa Dar mpaka Morogoro ila 'javenile' za Ukraine zilifanya kazi....
Hawa Warusi weusi kina 100 others wanatuambia eti Urusi haijatumia nguvu zake zote .
Unazungumzia ushindi ili ndugu?Japo misaada kutoka Marekani imepungua kwa Ukraine lakini bado Urusi imeshindwa kupata ushindi mpaka Sasa.
Urusi ilikuzwa mno na propaganda kuliko uhalisia.
T14 Armata Kichuguu
Wewe hua hueleweki,mara Ukraine inapigana peke yake,lkn Leo mwenyewe unathibitisha kua kumbe Marekani hua inaisaidia Ukraine,na unakiri kua hua inaisaidia isipokua misaada imepungua.Japo misaada kutoka Marekani imepungua kwa Ukraine lakini bado Urusi imeshindwa kupata ushindi mpaka Sasa.
Urusi ilikuzwa mno na propaganda kuliko uhalisia.
T14 Armata Kichuguu
Kwani Hadi hapa Ukraine ame achieve Nini?Kipindi kile mmejaza vifaru Kenda Kiev mliongea maneno ya shobo ila baada ya kichapo oooh Ukraine anasaidiwa na NA TO. Hiyo NATO mnaijua?
Waambie hao yaan nyoka anaingia ndan kwako then wew unatoka ndani unamwacha afu unenda kubomoa nyumba yake πVi drone vinavyorushwa kuelekea Urusi havina faida yoyote kivita Kwa Ukraine,wala havina madhara yoyote kivita Kwa Urusi.
Havikomboi maeneo yaliyoyekwa zaidi vinaikasirisha Urusi na imeongeza mashambulizi ya maangamizi mkubwa.
Ukraine Sasa hivi inapigwa kama Ngoma na zaidi maeneo ya kimkakati yanazidi kutekwa.
Mfano konstantinovka imeangukia mikononi wa Urusi majuzi TU.
Na ilikua ni most fortified.
Hakuna droo kwenye vita lazima apatikane mshindi..hii vita ni ngoma droo.
..haina maana tena.
ππππPorojo tu hizi. Eti Russia wakitaka kutumia nguvu!? Kwani hivi sasa wanawagawia mikate wa_Ukraine!?
Hakuna droo kwenye vita lazima apatikane mshindi
kwani kongo wao ile vita yao imechukua miaka mingapi? Vita vya dunia vilichukua miaka mingapi? kwenye vita hata wakifa wote akabak mmoja huyo ndo atakua mshind..huu mwaka wa ngapi hiyo vita inaendelea?
..vita imegeuka kuwa maisha ya kawaida ndio maana nakwambia bora tuite ngoma droo.