Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni.

CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk.

Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi.

Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya kutofamiana tu. Kiasi labda hata tunashangaana. Kama manyani vile.

Ili kujiridhisha uzi huu uliandikwa:


Lengo likiwa kuwafikia wote kwa kadri inavyowezekana. Ikibidi kwa majina.

Mrejesho:

1. Kutokea kwake Nigrastratatract ninukuu Comment #25, 34 na #57:

IMG_20210628_090114_490.jpg

--------
IMG_20210628_081708_568.jpg

------
IMG_20210628_075448_431.jpg

--------
kutokea katika uzi huu:


Ambapo pia comment ya mwisho kwenye majibizano haya #58 inahusika.

Kwa hakika ni jambo la heri sana. Inawezekana hata diamond angepewa nafasi ya kusikilizwa naye akasikiliza hali ingeweza kuwa tofauti.

2. Watajwa wengine tunaendelea kuwasubiri nao kama wakijitokeza itapendeza zaidi.

Elitwege, Wakudadavuwa, johnthebaptist na wenzenu habari ndiyo hiyo.
 
Unalialia nini wakati mlipuuza maoni ya watu kuhusu Diamond kushabikia udikteta mkisema hizo petition za wanaharakati hazina chochote.

Endeleeni kupuuza, si mna kila kitu, jeshi, polisi, mahakama, endeleeni, yaani!
 
Bila kumkosoa mtu ni sawa na kujaza maji kwenye tenga
So kukosoa mtu ni lazima ili ajue wapi amekosea au wapi anaenda ndivyo sivyo
 
Nimesoma huyo Mwamba mwanzo mwisho. Leo kawa Mzalendo wa kweli, achana na ule uzalendo wa kuvaa T-shirt kubwa za kijani/njano.
 
Unalialia nini wakati mlipuuza maoni ya watu kuhusu Diamond kushabikia udikteta mkisema hizo petition za wanaharakati hazina chochote.

Endeleeni kupuuza, si mna kila kitu, jeshi, polisi, mahakama, endeleeni, yaani!

Utakuwa bila shaka hujanisoma. Wapi umeona ninalia lia? Jeshi, polisi, na hata mahakama nivitoe wapi kapuku miye?

Tafadhali jiridhishe kuwa hujachanganya madesa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂!
 
Wameanza kuona nguvu ya social media sasa

Ngoja tuwasubirie naona ratiba za magwiji wengine bado zimebana.

Ninaamini hata kwa tuzo za BET yule bwana kama angejitokeza kwa wazi kabisa akajadili rationally tu hakika letu sote ni moja:

Nani anashabikia udhwalimu? Kwa dhati kabisa hayupo.
 
Back
Top Bottom