Vita mpya mjini, Mama Diamond vs Shilole

Aiseee ilitakiwa domo mwenyewe amuonye shilole mbona kama mama mtu kaona wivu usio wa kimzazi.

Atagombeza wangapi hadharani wanaomkuwadia mwanae.

Kasababisha hadi tununua akongeze tako kumzidi sanchi
Shishi kafanyaje?
 
Kushoto Ndiye Mrembo aliyekamata Headlines Mitandaoni akitokea nchini Ufaransa ambapo Anadai amekuja Bongo kwa ajili ya Diamond ...Baada ya Kutua Nchini alifanikiwa kuonana na SHILOLE ambaye ndiye alimfikisha mikononi mwa Diamond tena hadharan baada ya domo kumaliza kuongea na waandishi wa habari..Tukio hili limeibua Taswira Mpyaa Kwani Diamond na Familia yake wameonesha wazi kuwa Hawajafurahishwa na Ujio wa Mwanamke Huyo huku maneno ya chini nchini yakisema Ana NIA OVU Dhidi ya Diamond
Shishi kafanyaje?
 
Mmmmh nia gani sasa, hahahahha au mganga wa mama kasema?!!!
Ila mama diamond khaaaa kijana wake hatokaa aishi na mwanamke, (ngoja nisiongee zaidi kwakua nami ni mwanamke ni mama)
 
Kiki ipo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…