Nimekumbuka story ya mwamba mmoja alitoloka depo, sasa kwakuwa aliona kuna ufala huko, akawa mwizi Sasa mwamba yeye alikuja kuwa mwizi na hasa anaibia Askari.
hapo anakuawa anataka awaoneshe nani ni askari wa kweli.
Alooo alikua anakufata gizani Askari unachezea nako na unaibiwa kila kitu.
Sasa vijana wa Jeshi la Daudi lile jeshi alilokuwa nalo mapangoni akimkimbia Sauli, Tunakuja kumuonesha show Rais Samuya