Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu