Vita vikali vinapiganwa upya Kaskazini na Kusini ya Gaza. Inashangaza

Hamas Rats wamefurumushwa kwa MAJI ya Bahari kutoka mapangoni walikokuwa wamejificha.
Wale Mujahideen wetu mnasemaje hilo🤣

View: https://x.com/MOSSADil/status/1732754037949264082?s=20

Badala ya kuwaua sijui wanawapeleka wapi???

ISRAEL kwa kweli mnayoyafanya saa nyingine hata Mungu hapendi kabisa.

HAO WOTE WAPIGWE SHABA WAFUKIWE KWENYE MAHANDAKI YAO YAWE NDO MAKABURI YAO WALOJICHIMBIA TAYARI KUZIKWA HUMO.
 
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.

Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.

Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Unashangaa vita! Unafikiri Hamas hawakujiandaa,labda usema hawakutegemea kilichofanywa na Israel.
Wamejenga maficho chini ya ardhi kwa miaka, wamekuwa wakipata silaha ndogo na kubwa kwa miaka.
Umeona makombola yaliyotolewa mashimoni jana ? Vita ni kali na ni kubwa.
 
Hamas ina silaha gani za maana mpaka useme vita ni kubwa?
 
Vita ya Israel na Hamas haikuanza leo, na siku zote nia ya Israel ni kukiangamiza kikundi cha Hamas tangu kiundwe mwaka 2007! Lakini mpaka leo haijafanikiwa.
Wanaoumia ni wapalestina wasio na hatia.
 
Na wale nguruwe wa kizayuni walivyokuwa hawapendi kufa,, sasa hivi wataomba poo,, hawakutegemea kama itakuwa hivi, washazozea kuwaonea tangu kipindi cha nyuma sasa hivi wanaume wamedinda
 
Attachments

  • 20231207_193424.jpg
    20231207_193424.jpg
    120.1 KB · Views: 2
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.

Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.

Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Kama wamepanda kwenye magofu kupigana basi ni kweli mahandaki yaliyaharibiwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Muhimu ni kupigana na Israel mpaka ushindi upatikane.Wakienda chini Hamas wanapanda juu.Wakipiga maghorofa Hamas wanakwenda chini.Wakienda kusini Hamas wanakuja kaskazini.Hivyo hivyo mpaka ushindi upatikane.
 
Ila wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Waliianza wakiwa sw miaka ya 1860s hadi 1948 , jiulize kwann walizidiwa , kiufup Israel anafikiria miaka 10 mbele ya wanapoishia Waarabu
 
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.

Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.

Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Israel teketeza magaidi wa kiislamu wote pumbafuu zao
 
Naomba samare Excel kunani ???
my dear
hapa ni ishu ya kuuana tu vita kati ya Israel na mnyonge Gaza (a small part of Palestina)

Sasa kama kawaida vitani inajulikana madhara huwa ni kwa wasiojiweza, yani watoto pamoja na wanawake na wazee.

For more info nipe namba yako tuongee.. teh teh
 
Japo class nilikua kilaza ila nishaelewa wabheja sana!!

For more info 🤠!
 
Back
Top Bottom