Hivyo vifaa vya mapambano walivyo navyo wamevipataje ilhali wamezungukwa pande zote na hakiingii kitu wala kutoka bila ya idhin ya IsraelIla wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Wameviunda wenyewe kwa msaada wa Iran na Hezbolah.Hivyo vifaa vya mapambano walivyo navyo wamevipataje ilhali wamezungukwa pande zote na hakiingii kitu wala kutoka bila ya idhin ya Israel
Misri? Hivi we unamfahamu Rais wa Misri ni nani?Wameviunda wenyewe kwa msaada wa Iran na Hezbolah.
Kutoka Lebanon na pia Misri. Kuna mahandaki yao yanafika hadi huko.
Ukimpiga marungu kichaa yakimkolea anadhani maji ya bahari ni silaha.Misri? Hivi we unamfahamu Rais wa Misri ni nani?
Asili yake ni nani?
Vipi mpango wao wakupump maji umefikia wapi [emoji1]
Ukimpiga marungu kichaa yakimkolea anadhani maji ya bahari ni silaha
Ila wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Mungu bariki Hamas, Houth, Hizbollah, Mungu Bariki 🇮🇷 Iran.Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Ila wa israhell overrated khaa!!!Ila wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Israhell atakula sana kichapo mambo ndio kwanza yanaanza hayaNimeona sasahiv jamaa kiukweli wamechapika HAMAS wapo vizuri dah
Jamani,ni ushabiki,au ni imani. Hamasi wapo katika hali ngumu sana.nadhanikufikia kesho tutakuwa tunaingea mengineIsrahell atakula sana kichapo mambo ndio kwanza yanaanza haya
Hamas kamatia hapo hapo
Hao Njaa Itawatoa Maana Mashimo Yote Yamefukuliwa Sasa Utajifucha Wapi Gaza Pa MotoWaandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.