Vita vikali vinapiganwa upya Kaskazini na Kusini ya Gaza. Inashangaza

Misri? Hivi we unamfahamu Rais wa Misri ni nani?

Asili yake ni nani?

Vipi mpango wao wakupump maji umefikia wapi šŸ˜„

Ukimpiga marungu kichaa yakimkolea anadhani maji ya bahari ni silaha
Hamas walishajipanga sana mkuu. Tena baada ya Hezbolah kuwasumbua sana Israel na kuwapa kichapo kikali ile 2016, ni lazima wamesaidiwa mbinu na hata wanajeshi wa Hizbolab kuingia Gaza kupitia hayo mahandaki, ndo maana Israel wanapiga kelele kuhusu Iran(kumbuka Hezbolah ni pure Iran), na hata lile shambulizi la October 7. Ambapo Intelijensia yao ilifeli, na kudhalilishwa hadi waziri mkuu kudharaulika zaidi, ndiko kumewapandisha hasira na kupelekea mauwaji haya ya halaiki wanayoyafanya.

Tunnels za kuelekea Misri zipo sana. Na sintoshangaa kama top layers haswa yule anayetafutwa na Israel kama ā€œmastermindā€ aliyewahi kuwa jela yao, akiwa keshatorokea Misri na kutokomea.

Mkuu siyo tunnels zote zinafahamika maana bado Hamas wanaibuka tu hata kule ambako kumesambaratishwa mahandaki na majengo.
 
Unajisajailisha kwamba kulikuwa na usitisheaji wa mapambano kwa muda wa karibu siku 7? Unajua hao Hamas walikuwa wanafanya nini kama sio regrouping?
 
Hamna mvamizi ambaye alishashinda war of occupation dunia hii , never
In a long run utafail Tu
Huyo mzayuni hatoboi
Watoto wa juzi mnajidanganya na kujipump kwa maneno ya vijiweni. Waulizeni wazee wenu wa 1973. Israel walizidiwa kabisa lakini walishinda vita, HAKUNA MWANADAMU WAKUIONDOA ISRAEL KWENYE ILE ARDHI
 
Ila wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Wangekuwa na mfumo hata mmoja wa kutungua ndege ungewasaidia sana.
Kwa kweli wanapigana vita vya kishujaa sana.Ukiishiwa na risasi unarusha chochote kilicho karibu nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…