Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Badala ya kuwaua sijui wanawapeleka wapi???Hamas Rats wamefurumushwa kwa MAJI ya Bahari kutoka mapangoni walikokuwa wamejificha.
Wale Mujahideen wetu mnasemaje hiloš¤£
View: https://x.com/MOSSADil/status/1732754037949264082?s=20
Unashangaa vita! Unafikiri Hamas hawakujiandaa,labda usema hawakutegemea kilichofanywa na Israel.Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Ya kwamba umekosa akili kiasi kuwa umeshindwa kujua hizo picha ni editing?Hamas Rats wamefurumushwa kwa MAJI ya Bahari kutoka mapangoni walikokuwa wamejificha.
Wale Mujahideen wetu mnasemaje hiloš¤£
View: https://x.com/MOSSADil/status/1732754037949264082?s=20
Hamas ina silaha gani za maana mpaka useme vita ni kubwa?Unashangaa vita! Unafikiri Hamas hawakujiandaa,labda usema hawakutegemea kilichofanywa na Israel.
Wamejenga maficho chini ya ardhi kwa miaka, wamekuwa wakipata silaha ndogo na kubwa kwa miaka.
Umeona makombola yaliyotolewa mashimoni jana ? Vita ni kali na ni kubwa.
Shughuli Yao imekwisha ni suala la muda tuuuMungu bariki Hamas, Houth, Hizbollah, Mungu Bariki [emoji1130] Iran.
Tulidanganywa sana juu ya ushujaa na umahiri wa mazayuni enzi za giza
Leo ukiulizwa " izrael ni taifa teule " utajibu nn??Mungu bariki Hamas, Houth, Hizbollah, Mungu Bariki š®š· Iran.
Tulidanganywa sana juu ya ushujaa na umahiri wa mazayuni enzi za giza
Vilishakuwepo kwenye mahandaki yao na baadhi ya maeneo kama shule na hospitali.Hivyo vifaa vya mapambano walivyo navyo wamevipataje ilhali wamezungukwa pande zote na hakiingii kitu wala kutoka bila ya idhin ya Israel
Wale wa dini ile hawapendi AmaniIla wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Na wale nguruwe wa kizayuni walivyokuwa hawapendi kufa,, sasa hivi wataomba poo,, hawakutegemea kama itakuwa hivi, washazozea kuwaonea tangu kipindi cha nyuma sasa hivi wanaume wamedinda
Wametengeneza wenyeweHivyo vifaa vya mapambano walivyo navyo wamevipataje ilhali wamezungukwa pande zote na hakiingii kitu wala kutoka bila ya idhin ya Israel
Kama wamepanda kwenye magofu kupigana basi ni kweli mahandaki yaliyaharibiwa.Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
Muhimu ni kupigana na Israel mpaka ushindi upatikane.Wakienda chini Hamas wanapanda juu.Wakipiga maghorofa Hamas wanakwenda chini.Wakienda kusini Hamas wanakuja kaskazini.Hivyo hivyo mpaka ushindi upatikane.Kama wamepanda kwenye magofu kupigana basi ni kweli mahandaki yaliyaharibiwa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Waliianza wakiwa sw miaka ya 1860s hadi 1948 , jiulize kwann walizidiwa , kiufup Israel anafikiria miaka 10 mbele ya wanapoishia WaarabuIla wapalestina ni wabishi kwelikweli hawa jamaa kama wangekuwa na vifaa kama walivyo navyo Israel sijui ingekuaje
Israel teketeza magaidi wa kiislamu wote pumbafuu zaoWaandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini.
Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au kupunguza kasi za mapigo yao kwa IDF.
Mshangao wa pili ni kuwa vita kaskazini ya Gaza ambako Israel imesema imeharibu mahandaki yao ya kujificha lakini bado wamepanda juu au wametoka kwenye magofu na kupigana na IDF kwa nguvu zote bila kuathiriwa na njaa na uchofu
my dearNaomba samare Excel kunani ???
Japo class nilikua kilaza ila nishaelewa wabheja sana!!my dear
hapa ni ishu ya kuuana tu vita kati ya Israel na mnyonge Gaza (a small part of Palestina)
Sasa kama kawaida vitani inajulikana madhara huwa ni kwa wasiojiweza, yani watoto pamoja na wanawake na wazee.
For more info nipe namba yako tuongee.. teh teh