njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Lakini inafikirisha sana sana hili suala ina maana tulitaka Yahudi alivyovamiwa vile achutame na kulia lia? Haikumpasa kutoa adhabu ya mwanaukome kidogo? Sijajua baba gani wa familia anaweza vumilia kuvamiwa nyumbani kwake akafanyiwa ushenzi kisha akakaa kimnya kama bata bandani sidhani