njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Mbona umekuwa kipofu namna hiyo.Unaisifia Hamas bila kujua.Kwanza Israel hapigani na hamas peke yake anapigana na Iran, syria, na makundi yote ya kigaidi kama hezobolah, houth, hamas, islamic jihadi sasa huoni kama israel yupo vizuri anachangiwa na magaidi wenu wote na baba yenu wa ugaidi iran bado mnashindwa kumfuta mnabaki kulia lia israel ni mbaya
Ndivyo wanavyofanya Hamas na wapalestina.Ni akili gani hizo mtu akutoe nyumbani kwako kwa kukuua na achukue mpaka kiwanja chako halafu ndugu wabaki kulia lia tu.Hata kama huna silaha za kutosha lazima urushe japo mawe mojawapo linaweza likampata kwenye jicho likampofua na vita ikawa ngumu kwake.Lakini inafikirisha sana sana hili suala ina maana tulitaka Yahudi alivyovamiwa vile achutame na kulia lia? Haikumpasa kutoa adhabu ya mwanaukome kidogo? Sijajua baba gani wa familia anaweza vumilia kuvamiwa nyumbani kwake akafanyiwa ushenzi kisha akakaa kimnya kama bata bandani sidhani
Kwani kuna taifa lililowahi kuitwa palestine mpaka useme israel amechukua kiwanja chao hata qoroani imeitaja palestina wapi?Ndivyo wanavyofanya Hamas na wapalestina.Ni akili gani hizo mtu akutoe nyumbani kwako kwa kukuua na achukue mpaka kiwanja chako halafu ndugu wabaki kulia lia tu.Hata kama huna silaha za kutosha lazima urushe japo mawe mojawapo linaweza likampata kwenye jicho likampofua na vita ikawa ngumu kwake.
Hayo mataifa uliyoyataja jordan, misri wanajua mziki wa myahudi hata wakiunga mkono hamas hawaiwezi Israel kama waliungana 1967 mataifa 22 ya kiarabu kuifuta israel wakapigwa siku 6 tu wakajaribu kuungana mataifa mawili ambayo ni Syria na misri wakipewa silaha za kutosha za kirusi bado wakapigwa wakaishia kuingia mkataba wa amani leo wataiwezea wapi israel?Mbona umekuwa kipofu namna hiyo.Unaisifia Hamas bila kujua.
Yaabu wanamgambo tu na wala si majeshi ya nchi hao unaowaita magaidi wameizuia Israel kupata ushindi kwa mwaka mzima tena wako pamoja na yale mataifa yanayoitwa makubwa duniani ambao ndio wanawpatia silaha nzito.
Ingekuwaje kama nchi mbili tu ndogo jirani na Gaza ambazo ni Jordan na Misri zingewaunga mkono Hamas
Wewe hata elimu ya madrasa inakueleza wazi palestina haijawahi kuwepo hata qoroani haijaitaja palestina popote zaidi ya israel imetajwa kwenye qoroani mara 43 sasa israel anawezaje kuchukua kiwanja chake mwenyewe au anarudisha kilicho chakeHuo mjadala wako ni wa kijinga na huna elimu ya kuuendeleza.Kaa kimya.
Katika Qur'an surat bani Israa imetajwa eneo lote la masjid Aqsa na linalolizunguka bila kuweka kikomo ni la waislamu ambao ni pamoja na waislamu.Wewe hata elimu ya madrasa inakueleza wazi palestina haijawahi kuwepo hata qoroani haijaitaja palestina popote zaidi ya israel imetajwa kwenye qoroani mara 43 sasa israel anawezaje kuchukua kiwanja chake mwenyewe au anarudisha kilicho chake
Watangazwe washindi huku wanapokea kipondo?Ni sawa na kutuambia asilimia kubwa ya Watanzania ni matajiri kwa sababu wamehimili dhiki zao kwa miaka 64.Unajielewa kweli?🤔Kwa ufundi na subira za hali ya juu Hamas wameweza kuhimili kipigo kizito cha Israel na washirika wake mpaka umefika mwaka mmoja hapo Septema 7.
Uzito wa vita hivyo umeonekana na kila upande ambapo mpaka sasa kikwazo kikubwa ni waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ambaye anaona aibu kusitisha vita bila kufikiwa malengo aliyojiwekea na kuyatangaza mwanzoni mwa vita.
Kwa bahati mbaya Marekani imekuwa na sera za kumuendekeza waziri mkuu huyo bila kuona mbele kwamba maslahi anayoyafikiria Netanyahu itakuwa ni kuitumbukiza Marekani kwenye balaa kubwa.Unaweza ukauona msongo wa mawazo wa Marekani unapowasikiliza
wagombea uraisi wa nchi hiyo utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu.
Kila mmoja kati ya wagombea hao anajaribu kumpaka matope mwenzake kwamba si rafiki wa Israel. Hapo juzi Truma amesema akichaguliwa Kamalla Harris basi Israel itafutika.
Waziri wa Ulinzi wa Israel mwenyewe Yoav Gallant,mara kadhaa amekuwa akikosana na Netanyahu hadharani akiunga mkono kufikia makubaliano na Hamas akisema makubaliano hayo yataitua mzigo mkubwa nchi yake ya kiusalama kwenye mipaka yake yote.
Kwa upande wake Netanyahu amekuwa na tamaa za fisi kufikiria kila siku kwamba ataua kiongozi wa Hamas ili awatangazie wafuasi na wafadhili wake kwamba amepata mafanikio.Kwa kukimbilia huko ametangaza kifo cha Mohammed Deif ambaye mpaka leo hakuna uthibitisho wa kifo hicho.
Katika mchezo kama wa ndondi wenye raundi 12 unaweza ukasikia yule uliyemuon kuelemewa akatangazwa mshindi kama atahimili hicho kipigo na hachezi rafu za kumpiga mwenzake nyuma ya kichwa na maeneo mengine yaliyokatazwa.Watangazwe washindi huku wanapokea kipondo?Ni sawa na kutuambia asilimia kubwa ya Watanzania ni matajiri kwa sababu wamehimili dhiki zao kwa miaka 64.Unajielewa kweli?🤔
Mfano wako ni mfu.Upeleke Gaza huo mfano.Katika mchezo kama wa ndondi wenye raundi 12 unaweza ukasikia yule uliyemuon kuelemewa akatangazwa mshindi kama atahimili hicho kipigo na hachezi rafu za kumpiga mwenzake nyuma ya kichwa na maeneo mengine yaliyokatazwa.
Kwa pointi walizojikushanyia Hamas dhidi ya rafu za Israel ni lazima watatangazwa washindi kama uadilifu ukitumika.
Roketi za Hamas zinachagua wa kupiga kule Israeli?Huwezi kuujibu.Israel anaua watoto na kukaidi mahakama .Ushindi utakujaje hapo
Yaani mtu aote ndoto kwamba kaenda kuswalisha Al aqsa ambako hadi anakufa aliishia kupatamani kinjozi tuu halafu nyie mjimilikishe eneo hilo kuwa lenu.Katika Qur'an surat bani Israa imetajwa eneo lote la masjid Aqsa na linalolizunguka bila kuweka kikomo ni la waislamu ambao ni pamoja na waislamu.
Walipotajwa bani Israail sio nchi bali kwa uovu wao wanaoufanya kwa binadamu.
Kwenye vitabu vyenu hakuna miujiza kama ilivyo ndani ya Qur'an. Mtu (mtume saw) unayesema aliishia Makka lakini ametaja habari za kupaa na kutabiri televisheni kikamilifu.Ametaja habari distillation na habari ya sayari na mengi mengineyo.Yaani mtu aote ndoto kwamba kaenda kuswalisha Al aqsa ambako hadi anakufa aliishia kupatamani kinjozi tuu halafu nyie mjimilikishe eneo hilo kuwa lenu.
Muda si mrefu Al aqsa inakwenda kuwa majivu