Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

But truth is tz ndiyo inaongoza kwa GDP ya kweli kama uniamini subiri mwaka wa uchaguzi Kenya ndiyo utakuwa mwisho wa ubishi maana mabeberu wrote wataimba wimbo wa tz na magufuli believe me.

Nikama mnavyo jidanganya kuhusu Ghana kuzidi tz wakati hata Ethiopia hakuna kitu zaidi ya mji mmoja tu. Kumbuka miaka ya 1995 hivi tulikuwa wa 3 Africa kwa umasikini sasa piga hesabu unitajie nchi yoyote Africa na Ulaya iliyo weza kuliga hatua kama tz, had I huu mwaka kumalizika wenyewe mtakubari tu kuwa wa tz no bongo land nchi ya akili mingi.
 
^^^πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Were jida ga ye tunapiga Nazi usiku na mchana daraja letu LA yanzanite linamalizika wakati nyinyi LA likoni limetulwa kaluni miaka kwa miaka hadi mnakuja na wazo LA ujenzi wa kidaraja feki hapo likoni.

Msije sema sikuwaambieni miladi yetu inazidi kukamilika na lufungua mapato mapya na hela kuelekezwa kwenya mipango mipya ya uchumi.
 
^^^ πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­
 

The thematic map gives more questions than its ability to address them. Now where are variables and criteria which deployed in the ranking.
What I can say is "if you are not reading the news you are stupid, but if you believe everything that you read in the news papers, then you are more stupid.
 
Mbona mkitolewa LDC hamkuhoji namna hii? πŸ˜‚
 
Mbona mkitolewa LDC hamkuhoji namna hii? πŸ˜‚

Brother, tumia ufahamu, yaani unaamini nchi kama Tanzania ina usalama hafifu wa chakula kuliko kenya na Ethiopia. Unless you are talking about the first world kenya in the lower middle income country.
 
Brother, tumia ufahamu, yaani unaamini nchi kama Tanzania ina usalama hafifu wa chakula kuliko kenya. Unless you are talking about the first world kenya in the lower middle income country.
Ufahamu tunatumia. Pitia link, ramani isipotosheleza maswali yako, kuna option ya ku download report nzima. Ni 1.54MB pekee.

Hunger Map 2020 | World Food Programme

Halafu nauliza tena, vipi hamkuhoji mlivyotolewa LDC jinsi unavyohoji saizi? Ipo shida.
 

Bro what I see in the link you provided is just a high resolution pdf (1.54 MB) thematic map that can be printed for display purposes. No any manuscript to give the insight of the thing.
 
Mkuu, unajua Magu kaleta balaa huko ke? Huwa hawataki kumsikia kabisa, amewanyoosha hatari. Waache wabwabwanje, ila ukweli tunaujua sisi.
 
[emoji38] [emoji38] hili bomu la GDP nalo litaripuka siku si nyingi, dalili zote ziko wazi.
[emoji1][emoji1]

watu na GDP ya $109 bln wanashindwa kulipa mishahara manesi wa dispensary[emoji23][emoji23].
Mkuu, ogopa sana uchumi wa makaratasi na uhalisia. Hao wanakimbizwa mno na Magu. Stay tuned miaka mingine 5, ni michungu mno kwao.
 
Hilo la korosho ndio waliangukia pua kabisa, ila nimeshangaa sana yaani wakiendelea hivi miaka ijayo mitano tutakua tumewaacha kwa mbali sana kwa kweli.
Pesa za korosho zilikuwa ni zaidi ya tsh bilioni 900 ambayo imelipwa tayari mpaka july.
[emoji1][emoji1][emoji1]naomba uniambie mishahara ya manesi hapo kwenu ni shilingi ngapi ambayo wamedai zaidi ya mwaka sasa!
 
Sababu sisi tulisha ingia tangu 2017....ilikuwa n swala la wao kurithia tu....ndio mana haikutushtua wala kushangaza...unajingine?
 
Tanzania ome freeze ajira za walimu toka 2015.. hao mnaowalipa wametoka wapi.. idadi ya walimu kenya ni mara 5 ya tz
wacha kufananisha malipo ya corosho na na elfu 7 za kenya.

hata hivyo GDP ya $60bln imeshawalipa wakulima. na haijawahi tokea mwalimu akadai pesa tz huwa wanagoma kwa kuomba nyongeza sio kuzimwa kwabisa.
 
Mmefukuza walimu na hamjaajiri. Kwanini mshindwe kuwalipa hao wachache.
hakuna madai ya mishahara kwa waalimu tz, achana na hizo link za kucheleweshewa malipo, ambayo huzidi siku tano mpaka mbili kutoka tarehe husika ya malipo.
 
Pesa za korosho zilikuwa ni zaidi ya tsh bilioni 900 ambayo imelipwa tayari mpaka july.
[emoji1][emoji1][emoji1]naomba uniambie mishahara ya manesi hapo kwenu ni shilingi ngapi?? ambayo wamedai zaidi ya mwaka sasa!!!!

Huwa nacheck jukwaa lenu la kisiasa, mliwatesa sana wakulima wa korosho, nilishangaa wapo leo wanaodai bado, tatizo ulishalikimbia hilo jukwaa, jaribu kupeleka huu utopolo wako huko uone utakavyotukanwa na Watanzania.
 
Huwa nacheck jukwaa lenu la kisiasa, mliwatesa sana wakulima wa korosho, nilishangaa wapo leo wanaodai bado, tatizo ulishalikimbia hilo jukwaa, jaribu kupeleka huu utopolo wako huko uone utakavyotukanwa na Watanzania.
Watanzania walioko kule ndio hao wapinzani wenye maslahi kinzani na kila serikali inachofanya, ndio wale waliosema tufungiwe lockdown, waliomkosoa magu kwa kutochukua mkopo wa corona,yaani kifupi wana akili za nzi kama zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…