MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Watanzania walioko kule ndio hao wapinzani wenye maslahi kinzani na kila serikali inachofanya, ndio wale waliosema tufungiwe lockdown, waliomkosoa magu kwa kutochukua mkopo wa corona,yaani kifupi wana akili za nzi kama zako.
Kawaambie hayo huko uone kama hautatolewa nduki, wao huko wana uchungu na nchi yao, hauwezi kuwadanganya kama unavyopenda kufanya huku maana wanayaona na kuyapitia hayo mateso.