Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

Watanzania walioko kule ndio hao wapinzani wenye maslahi kinzani na kila serikali inachofanya, ndio wale waliosema tufungiwe lockdown, waliomkosoa magu kwa kutochukua mkopo wa corona,yaani kifupi wana akili za nzi kama zako.

Kawaambie hayo huko uone kama hautatolewa nduki, wao huko wana uchungu na nchi yao, hauwezi kuwadanganya kama unavyopenda kufanya huku maana wanayaona na kuyapitia hayo mateso.
 
Kawaambie hayo huko uone kama hautatolewa nduki, wao huko wana uchungu na nchi yao, hauwezi kuwadanganya kama unavyopenda kufanya huku maana wanayaona na kuyapitia hayo mateso.
Hamna mwenye uchungu na nchi kule, wale wana uchungu na nyonga zao tu.

Mbona tunawaeleza sana. ukitaka kujua wanaelimika japo kwa taabu kama nyinyi tunvyowapa dawa, angalia ishu ya corona kwa sasa wameinyamazia.ishu wa corosho nayo imekaa kimya.

Mtu yupo online jf 23hrs/day unasema ana uchungu na nchi yake, kazi anafanya saa ngapi. We Tanzaniania tuna uhakika wa kula ndio maana mtu anaamka anakunywa chai anakwenda kuingia mtandaoni kulaumu serikali, anakula launch anashiba anashika simu, jioni vivyo hivyo. ni vigumu sana kujua yupi ana uhitaji wa jambo la msingi tz.
 
Wazee wa figures kenye na Ethiopia kama wanafanana hivi? Uchumi wa kwenye Makaratasi
 
tatizo lenu kubwa wengi wenu ni walemavu wa akili na wavivu, nchi kama kenya na uhabeshi na matatizo yao yote si wa kushinda tanzania na raslimali hizo zote
Bora hata uitaje Kenya angalau kidogo. Wahabeshi kila siku tunawakamata wanaikimbia nchi yenye uchumi mzuri, ma agent wa kuwavusha ni Wakenya. Kila siku wanakufa kwa kisafirishwa kama magunia ya mahindi. Yaani kila siku tunawarudisha Ethiopia baada ya kuwatibu. Wanafika wakiwa hoi haswaa.

Nchi kubwa kama marekani, umeona raia wake wanaikimbia?
 
Hii Ethiopia ni hii ambayo kila siku tunawakamata huku Tanzania raia wao wanakimbilia south Africa?
 
Just like DRC You have a country blessed with abudant natural resources but the economy is mediocre at best. Atleast DRC had civil wars, what is Tanzania's excuse? There's only one logical answer, stupidity
[emoji75] [emoji75] [emoji75] unavyoongea kama mtu kumbe boga
 
Tanzania ome freeze ajira za walimu toka 2015.. hao mnaowalipa wametoka wapi.. idadi ya walimu kenya ni mara 5 ya tz
Wamekua wakiajiri walimu wa science na hesabu inawezekana moja kwa moja huna unalojua
 
Tunajenga bwawa la umeme uzalishaji na uwekezaji utaongezeka maradufu,tunajenga sgr usafirishaji utaongezeka maradufu izo estimates hazitabiri future ya ukwel,tena nyie mnahatar ya kuporomoka endeleeni kutafuta pesa Za miradi na kuleta figusu tunawapiga pin hamtapata pakujishika
 

Huwa nasoma sana kule, hampo kabisa mumefutwa na kukimbilia huku kwa Wakenya, kule huwa mnajibu shombo na kukimbia, unakuta mtu ameandika bango limesheheni nondo tena lefu balaa, mataga mnatangulia na kutupia maneno machache yanayonuka shombo na kukimbia hoja. Kwa kweli kama mnalipwa huwa hamtendei haki hizo hela, ingepaswa mbanane nao kwenye hoja.
 
Mitano ijayo pilot atakua mwana sheria mbobezi
 
hamna nondo pale mzee, labda sababu wewe ni mvivu kuandika.

ukiishaona mtu kafungua gazeti na likes 20 plus basi unahitimisha zitakuwa point.
kule kuna kundi la watu fulani ni hao hao kazi yao 24hrs ni kuandika mabaya ya serikali hawana kazi nyingine, sasa kama unahisi kila muandishi anatakiwa kujibiwa unafeli.

watz ni zaidi ya kikundi cha watu 30 kilicholipwa kwa kazi hizo.kingine unatakiwa ukumbuke lile ni jukwaa la siasa usibebe kizima kizima kila unachokikuta.
 

Huwa hata hamsomi zaidi ya sentensi moja kabla kujibu shombo na kukimbia, ila jamaa huwa hawachoki bado wanaandika, kwanza leo dah yaani wameandika hadi basi, inaonyesha matumaini hampo vilaza nchi yote kunao wanaotumia ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…