Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

Salaam aleikum kutoka oman
Mzee Said
Wewe unajua unahistoria zote,tulipigana na mreno miaka mia na hamsini ,tuko tayari kupigana tena nao, uhuru wetu,nchi ,dini yetu,heshima yetu dighinity, hatavichukua Trump
 
Oman ishambuliwe tu tena isambaratishwe, inashiriki sana kusababisha sintofahamu ndani ya Tanganyika.
Shukrani ,hata kama unata kujiunga na trump njoo umalize hasira yako,tutakukaribisha
 
Salaam aleikum kutoka oman
Mzee Said
Wewe unajua unahistoria zote,tulipigana na mreno miaka mia na hamsini ,tuko tayari kupigana tena nao, uhuru wetu,nchi ,dini yetu,heshima yetu dighinity, hatavichukua Trump
Alnat

Albarza,
Hilo ni lenye yakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…