Vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya

Vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya

red label

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
439
Reaction score
886
Kuzuka vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya.Toka napata akili nimekuwa nikisiliza hizi habari toka vyombo vikubwa vya habari duniani.Vita imekuwa ni sehemu ya Maisha ya mwanadamu toka kuumbwa.Hata kabla hatujaletewa dini na utamaduni mpya huku kwetu zilikuwepo vita..Hadi leo malengo ya vita ni yaleyale kujipanua na kuwa na uhakika wa kuishi(Darwin's theory of survival).Simba akimhurimia swala atakufa na njaa.Ukiichukulia personal itakuokoa Sana kimaisha.
Hapo middle East vita vyao ni vya enzi kutokana na mapokeo Yao toka kwenye Bible.Kila vita ikizukq mahala Fulani isijenge taharuki wengine ambao hatuko vitani tuendelee na Maisha yetu.Jirani wakigombana chukua jembe ukalime
 
Vita vya sasa vinaonekana ni vya kipekee kwa sababu ilikuwa haijazoeleka Hamas kuwateka hadi wanajeshi wa Israel, ila kwa sasa Hamas kafanya hivyo na mpaka sasa anapigana ndani ya maeneo ya yanayokaliwa na Israel.
 
Back
Top Bottom