Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wamepinga sana lakini si kwa hojaKuna ukweli hapo, ila mibongo itakupinga kwa nguvu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepinga sana lakini si kwa hojaKuna ukweli hapo, ila mibongo itakupinga kwa nguvu zote
Wamepinga sana lakini si kwa hoja
Heeeeeh....😳😳😳 Mimi tena ndo wa kukasirika? Kwa lipi? Wakati sisi ndo tunawatawala nyie😂😂😂 na wewe ndo unalalamika kila uchwao na kumlaani nyerere. Mi sina hasira. Wewe ndo una hasira katika kila comment yako. Inaonekana you cant breath 😂😂😂
Kama umefurahi kitu gani kilikufanya umwage povu na kukoroma?
Maskini....kumbe unaumia sana...why lakini?anayekandamiza na anayekandamizwa nani anamwaga povu,kuharisha na kukoroma? Eti nyie koloni letu?😂😂😂
Subirin tumsimike Rais mwingine wa Zanzibar ndugu Gavana tusikilize sisi ndo wataalam. Wewe endelea kumlaani Nyerere....😂😂😂
Si ndio ukawa unashughulishwa na ka Zanzibari kadogo kinachoingia mara zaidi ya 100 000 Tanganyika ,ukajisahau mwenyewe namna jiwe linavyowagaragaza na kuifisidi Tanganyika ,umekuja kumwaga povu hapa
Si ndio ukawa unashughulishwa na ka Zanzibari kadogo kinachoingia mara zaidi ya 100 000 Tanganyika ,ukajisahau mwenyewe namna jiwe linavyowagaragaza na kuifisidi Tanganyika ,umekuja kumwaga povu hapa
Tanzania sasa ipo imara mara 100 na kakoloni ketu kametulia tuli. Tunasonga mbele....kifua mbele macho mita 1000. Subiri tuwawekee Rais tunayemtaka mwaka 2020 Dodoma... 😂😂😂
Tanzania sasa ipo imara mara 100 na kakoloni ketu kametulia tuli. Tunasonga mbele....kifua mbele macho mita 1000. Subiri tuwawekee Rais tunayemtaka mwaka 2020 Dodoma... 😂😂😂
Simpigane na Membe kwanza
Mwanamapinduzi John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar aliwalaani. Alisema kwa mliyomfanyia kamwe hamtakuwa Huru.
ndivyo ulivyoambiwa na Kardinali wako Pengo `??? Anzeni na Membe kwanza
Lazima utetee ujinga tu ndio kawaida yako ewe NASWARA/YAHUDI usie na utu wala huruma,,huyo babu yako, pamoja na okello mateso na mauwaji waliyoyafanya dhidi ya waarabu/waislamu wenzetu hayatasahaulika,,, Okello alikuwa anaanzia wakina baba kuwauwa halafu anamalizia kwa wake zao na watoto tena kwa kuwachinja kabsa. Hivi kama ndio ni familia yako wameteketezwa ungeendelea kutetea ujinga!!
(Babu yako, okello na Karume) hawa wote walikuwa kitu kimoja katika mauwaji hayo,,,walifikiri wataishi milele.
Ingia Revolution zanzibar 1964 ujionee walivyouawa kinyama halafu urudi tena kuwatete hao ndugu zako wasiokuwa na utu 😡😡😡
umeanza UDINI tena???waangalieni ndugu zenu huko mashariki ya kati wote waarabu wote waislamu lakini bado wanachinjana mpaka leo!!!Lazima utetee ujinga tu ndio kawaida yako ewe NASWARA/YAHUDI usie na utu wala huruma,,huyo babu yako, pamoja na okello mateso na mauwaji waliyoyafanya dhidi ya waarabu/waislamu wenzetu hayatasahaulika,,, Okello alikuwa anaanzia wakina baba kuwauwa halafu anamalizia kwa wake zao na watoto tena kwa kuwachinja kabsa. Hivi kama ndio ni familia yako wameteketezwa ungeendelea kutetea ujinga!!
(Babu yako, okello na Karume) hawa wote walikuwa kitu kimoja katika mauwaji hayo,,,walifikiri wataishi milele.
Ingia Revolution zanzibar 1964 ujionee walivyouawa kinyama halafu urudi tena kuwatete hao ndugu zako wasiokuwa na utu 😡😡😡
Mwanamapinduzi John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar aliwalaani. Alisema kwa mliyomfanyia kamwe hamtakuwa Huru.
Hizo ni mbinu za Kijeshi ZA KUMZUNGUKA ADUI pande zote ili isiwe rahisi kutoroka au kujibu mapigoShortcut hua sio nzuri mkuu....
Ni kweli kabisa. Mie nilishiriki vita hii, niliishia Arua. Mengi sana yamekuwa classified.Kwa taarifa yako majeshi ya Uganda yalikuwa vizuri sana kabla ya uasi.
Vita ilipoanza tulipoteza wanajeshi wengi mno japo taarifa zilifichwa, binamu yangu amepigana na amesimulia mengi mno ambayo serikali haikuweka na haitaweka wazi.
Hivyo unaposema kwani tulizunguka, unafikiri hao jamaa walikuwa dhaifu kiasi hicho?
Vita ina mbinu nyingi, moja wapo ni kumzunguka adui wakati yeye anapambana na wale waliom face... ghafla snashangaa anashambuliwa eneo ambalo asikutegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu japo natamani ungefunguka kidogoNi kweli kabisa. Mie nilishiriki vita hii, niliishia Arua. Mengi sana yamekuwa classified.