Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Hahaahaa!!! Huyu @Kahtan Mungu anamuona huyu!!!

Halafu unajua hii mada naikumbuka kabisa hii lakini cha kushangaza, sijaziona posts zangu unless kama kulikuwa na mijadala miwili kuhusu Vita vya Kagera though wachangiaji wenzangu bado nawaona!!
Hahahaha,
Wewe Chige ulikuwa unatumia ID nyingine maana huu uzi ni wa mwaka 2013 na ID yako ni 2016
 
Gazeti la Mwananchi nalo limeanza kuelezea habari ya vita hii
 
echolimo,

..kuna vitabu 3 kuhusu vita vya Kagera.

..kuna kimoja kimeandikwa na waingereza waandishi wa habari.

..halafu kingine kimeandikwa nadhani na Lt.Col.Ngatuni.

..kitabu cha tatu nimesahau kimeandikwa na nani, sijakiona muda mrefu, lakini nakitafuta sana. kimeandikwa kwa kiswahili na kiko very detailed kwa kumbukumbu zangu. unaweza kunikumbusha kuhusu kitabu hicho na wapi naweza kukipata??

..tafadhali, tafadhali, andika kitabu au hata vitabu kuhusu hii vita. mlifanya kazi KUBWA sana and I dont think it has been adequately documented.

..wale majenarali wote walioongoza vita walitakiwa waandike experiences zao kuhusu vita ile. zaidi, walitakiwa wawe wanazunguka ktk vyuo mbalimbali vya kijeshi kutoa mihadhara.

..andikeni hata operation za Seychelles, Comoro[nadhani walikwenda mara mbili], Msumbiji, na Zimbabwe.

NB:

..ambush ya Lukaya, maandilizi yake, washiriki wake, etc etc, inaweza kuwa kitabu peke yake.

cc: gobore, Moshe Dayan, Shwari, Jasusi, Mzee Mwanakijiji
Jokakuu kitabu cha tatu kiliandikwa na Baldwin Mzirai mwambie baba yetu Echolino
 
Kanal Tumbi kamanda radi ndio alikuwa mkuu wa kikosi cha mizinga
Kanal Laurian Makunda au torpedo kikosi cha majini

..wewe una details ambazo wengine hawana.

..Kitabu kilichoandikwa na Mzirai walishirikiana na Mwenegoha?
 
Back
Top Bottom