Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Kwanza shikamoo! hakika Luten nimefurahi, kwa jinsi mlivopigana km Wayahudi wanavyoichapa Palestine, na mlirudi mlikuwa na hela si kitoto..Baba yangu mdogo alikwemo. chipukizi hujawataja waliwakaribisha kwa mbwembwe!
Huyu Brigedier Kota bado yu hai? wanauhusiano gani na Major KOTA daktari? Major Sanga 823KJ yeye hakuwemo humo,
Huyu Brigedier Kota bado yu hai? wanauhusiano gani na Major KOTA daktari? Major Sanga 823KJ yeye hakuwemo humo,