Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Mkuu wengi wetu tumefarijika sana mpaka leo bado nazikumbuka katuni za nduli kwenye magazeti na jinsi gani tulivyokuwa tunamchukia na kumhofu Alhaji Amin miaka hiyo!Pia natupa imani kuwa Bwana Kagame akileta upuuzi wake na atapata zisizoonekana!

Ambacho hujui ni kuwa vita ilichangiwa na udini. Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie (Obote) na sio Muislamu (Amini)
 
Wakati naleta uzi huu nilikuwa naelezea tu kumbukumbu zangu baada ya kuangalia TBC Wakati wanaonyesha siku ya mashujaa lakini kwa kuwa hapa ni kwa GT Mmenipandikizia wazo hili zuri la kutunga kitabu nawashukuru sana wote walionitia moyo katika sehemu hii ya kwanza,Naongea na jamaa ili lengo hilo litimie la kutengeneza kitabu Nimeona kweli kitapendeza sana lakini shukrani nyingi zitakuwa kwenu GT.

Sasa mbona mpaka leo miaka 7 imepita na kitabu hujaandika?
 
Taaluma ya uandishi wa vitabu Tanzania ilikufa siku nyingi sana baada ya vita wakati uchumi ulipoanza kuharibika, na watu wakaanza kuwa wanatafuta namna ya kusurvive kwa njia yoyote ile. Kwa hiyo manunuzi ya vitabu yakatoweka kabisa. Ndiyo maana kwa muda mrefu Tanzania imekuwa haina maduka binafsi ya vitabu ispokuwa vile vya kiada tu. Vitabu karibu vyote vya fasihi na riwaya viliandikwa kabla ya mwaka 1980: Musiba (ingawa walikuwa akikopi baadhi kutoka Nick Carter), Kezilahabi, Shaffi, Ben Mtobwa, Katalambula, na wengineo waanidhsi mashuhuri waliandika kabla ya mwaka huo wa 1980. Baada ya hapo kukatokea waandishi uchwara sana hasa pale UDSM waliokuwa wakiandika bila kutumia akili, na vitabu vyao vikawa pia havinunuliwi. Uandishi wa vitabu huchochewa na market, watu huandika vitabu ili vinunuliwe.

Vita ile hata sijui kwanini tulijipeleka kupigana. imetutia hasara tu. Askari wengi wakafa (hasa pale mto Kagera walivomiminia njugu kwenye mitumbwi) zaidi ya askari 1800 hawakurudi mpaka leo.

Uchumi wetu ukadidimia.

Kenya wakatu overtake mpaka leo hii na hatuwapati tena.

Tatizo udini. Udini. Udini.

Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie Obote na sio muislamu Amini.
 
Niletee drafts nitawasaidia kufanyia editing na typesetting. Nilikuwa shabiki sana wa vita ile wakati nikiwa faru brigade miaka hiyo ingawa binafsi sikupelekwa frontline.

Sema we jamaa chai sana!!!
Kuna mahali umesema baba yako ndio alikua mwanajeshi wakati huo.

Hapa unasema wewe ndio ulikua mwanajeshi!!
 
Vita ile hata sijui kwanini tulijipeleka kupigana. imetutia hasara tu. Askari wengi wakafa (hasa pale mto Kagera walivomiminia njugu kwenye mitumbwi) zaidi ya askari 1800 hawakurudi mpaka leo.

Uchumi wetu ukadidimia.

Kenya wakatu overtake mpaka leo hii na hatuwapati tena.

Tatizo udini. Udini. Udini.

Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie Obote na sio muislamu Amini.
Hii post ya udini imeshaongelewa sana na wahubiri dini hapa na imeshajibiwa na wachangiaji wengi. Hebu fikiria mwanamme mkatoliki akija nyumbani kwako na kukubaka mbele ya mme wako mwislamu (nachukulia kuwa wewe ni mwanamke) unadhani huyo mme wako hatakupigania kwa kusema itakuwa ni udini? Kama hujui jeshi la Uganda lilikuwa na wakristo wengi sana kuliko waislamu; kwa sababu wapiganaji wa amini wengi walikuwa ni wale waliotokea sehemu za Sudan ya kusini ambayo ni ya wakristo tu, ndiyo maana walipigana na Sudani ya Kaskazini kujitenga.

Sema we jamaa chai sana!!!
Kuna mahali umesema baba yako ndio alikua mwanajeshi wakati huo.

Hapa unasema wewe ndio ulikua mwanajeshi!!
Pole kwa kujawa na ghadhabu, nadhani unasoma mambo juu juu tu. Hakuna mahali niliposema kuwa nilikuwa mwanajeshi; nilisema nilikuwa mazingira ya jeshi na wala pia sijasema kuwa baba yangu alikuwa mwanajeshi kwani hakuwahi kuwa mwanajeshi katika maisha yake. Nafikiri labda umesoma post ya mtu mwingine au ulijenga hisia hizo kichwani tu kwa kuungaunga posts hasa kwa vile unasoma ukiwa na negative mindset, hivyo ubongo haufanyi kazi sawasawa sasa.
 
Asante sana, babu yangu pia alikuwa Luteni. Huyu jamaa Kaahtan sitashangaa kusikia alikuwa mfanyakazi wa Amin upande wa mfua c.h.u.pi za Amin maana analeta jokes kwenye National patriotism.
I am proud of you heros!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
We babu yako huwezi kusema alikuwa mpiga deki wa luteni. Lzm utampa cheo cha boss wake.
Nyie wakuda mpk lini mtakuwa na akili mbovu?
Leo ukweli uko wazi lkn bado mnarudia upumbavu ule ule wa kutoa maneno kwenye vitabu vya tamthilia na kuvileta humu mkidai babu zenu na mama zenu walikuwa wanajeshi!
Samaki wahedi
 
Wakati naleta uzi huu nilikuwa naelezea tu kumbukumbu zangu baada ya kuangalia TBC Wakati wanaonyesha siku ya mashujaa lakini kwa kuwa hapa ni kwa GT Mmenipandikizia wazo hili zuri la kutunga kitabu nawashukuru sana wote walionitia moyo katika sehemu hii ya kwanza,Naongea na jamaa ili lengo hilo litimie la kutengeneza kitabu Nimeona kweli kitapendeza sana lakini shukrani nyingi zitakuwa kwenu GT.
Ndugu mgambo umeulizwa hapo juu.
Huu mwaka wa 7 hujaandika hicho kitabu.
Au bado karatasi zinaleta tabu?
Sema tukufanyie mchango hapa.

Kanuni moja ya MUONGO Inakusumbua inayosema "UKITAKA KUWA MUONGO USISAHAU ULICHOSEMA".!
Sasa tazama unavyojichanganya.!

Teh teh teh teh.
Dah.
 
Yeah! That is the TRUTH unless you have a different version to prove that what was written was not the whole TRUTH.
Truth has to be proven by authentic sources otherwise it remains as a story.
How on earth a different version of a story proves the facts?
You let me down today young man.
 
Ndugu mgambo umeulizwa hapo juu.
Huu mwaka wa 7 hujaandika hicho kitabu.
Au bado karatasi zinaleta tabu?
Sema tukufanyie mchango hapa.

Kanuni moja ya MUONGO Inakusumbua inayosema "UKITAKA KUWA MUONGO USISAHAU ULICHOSEMA".!
Sasa tazama unavyojichanganya.!

Teh teh teh teh.
Dah.
Siku nyingi kitabu kiko sokoni nataka tena ku-Reprint July mwaka huu!!!
 
Vita ile hata sijui kwanini tulijipeleka kupigana. imetutia hasara tu. Askari wengi wakafa (hasa pale mto Kagera walivomiminia njugu kwenye mitumbwi) zaidi ya askari 1800 hawakurudi mpaka leo.

Uchumi wetu ukadidimia.

Kenya wakatu overtake mpaka leo hii na hatuwapati tena.

Tatizo udini. Udini. Udini.

Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie Obote na sio muislamu Amini.
Naona Udini unakutesa sana mpaka umefikia kiasi cha kusema uongo mweupe kuwa tulipoteza askari 1800 hiyo idadi uliipata wapi?? Hata hivyo wanajeshi wetu hawakupita hapo kwa mitumbwi kama unavyodai hata hivyo endelea kuteseka na Udini wako ambao hautakusaidia chochote!!
 
Tofautisha UKWELI na Udini.
Nyerere alikwenda Uganda kwa hiari yake?
Uganda ilimhusu nini Nyerere na watanzania?
Acha kuandika vitu kwa hisia.

Kanisa KATOLIKI ndio lililomuamuru Nyerere aende Uganda kumtoa Idd Amini .
Matokeo yake watanzania wakafa km kuku wenye mafua.
 
Mjukuu wangu kahtaan na mwenzako Chuki zenu juu ya Nyerere na Udini wenu haviwezi kabisa kuwasaidia nyinyi endeleeni tu Kuteseka na roho zenu za Chuki.Kwetu sisi kazi waliyotutuma wananchi wa Tanzania tulishaimaliza na tukarudi kishujaa nyinyi endeleeni kuteseka!!!
 
Kama walifyatua magoboli fujo ikaisha basi wana akili sana!

Umekosea mimi siyo shangazi yako, mkuu kaulize tena baba yako shangazi zako ni nani?! ....naona kila anaye mtumia anakudanganya ni shangazi yako?

Ok! Mkuu usinionee wivu? kwa Waume zangu?, nifuate PM nitakufanyia mpango uliwe kidogo uone raha, nunapenda? si wanakupa hela? gari, nyumba! karibu! hakuna atakaye jua! Usiogope!

ushoga ni maradhi? ndivo ulivodanganywa huko madrasa?
Teh teh teh.
Bi mkubwa naona umeamua kunilia kungu.
Jina lako tu peke yake sio rizki.

Sasa hapa umejenga hoja au umehorojeka.
Haya ndio matatizo ya kuishi kwa shemeji
Akikwambia ufue chupi ya dadako unasema anakutaka . Sasa ule bure vyake bure kazi ya chumbani afanye dadako peke yake? Hata mimi nisingekuacha.
Anyway its been nice knowing you Nicompoop.
 
Yaani ni shida!
Huyu mgambo katusumbua hapa mwaka wa 3 huu na story zake.
Huyu si mgambo ni Luten canal. mwenye mafanikio! JKT ulikuwa nanga sana wewe, hukuelewa vyeo vya jeshi wewe. bichwa zito, na hutaelewa ndo maana kila kitu Mgambo!
 
Back
Top Bottom