DahKweli nimestushwa sana kuona Status yake imeandikwa RIP.
Kkkkkkkk kkkkkkkk dah! Sign yako tu imeniacha hoi.Hiyo balaa sana
🙁Kkkkkkkk kkkkkkkk dah! Sign yako tu imeniacha hoi.
Nalog off
Hio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!
Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
Hahaahaa!!! Huyu @Kahtan Mungu anamuona huyu!!!Hahahahaha,
chige , consigliare , FisadiKuu , Wick njoo muone huku
Hahahaha,Hahaahaa!!! Huyu @Kahtan Mungu anamuona huyu!!!
Halafu unajua hii mada naikumbuka kabisa hii lakini cha kushangaza, sijaziona posts zangu unless kama kulikuwa na mijadala miwili kuhusu Vita vya Kagera though wachangiaji wenzangu bado nawaona!!
Ana miaka tisa now mpe asomeHii historia ntaitunza kwa ajili ya mwanangu ambaye kwa sasa ana 3yrs. Its very interesting!
Jokakuu kitabu cha tatu kiliandikwa na Baldwin Mzirai mwambie baba yetu Echolinoecholimo,
..kuna vitabu 3 kuhusu vita vya Kagera.
..kuna kimoja kimeandikwa na waingereza waandishi wa habari.
..halafu kingine kimeandikwa nadhani na Lt.Col.Ngatuni.
..kitabu cha tatu nimesahau kimeandikwa na nani, sijakiona muda mrefu, lakini nakitafuta sana. kimeandikwa kwa kiswahili na kiko very detailed kwa kumbukumbu zangu. unaweza kunikumbusha kuhusu kitabu hicho na wapi naweza kukipata??
..tafadhali, tafadhali, andika kitabu au hata vitabu kuhusu hii vita. mlifanya kazi KUBWA sana and I dont think it has been adequately documented.
..wale majenarali wote walioongoza vita walitakiwa waandike experiences zao kuhusu vita ile. zaidi, walitakiwa wawe wanazunguka ktk vyuo mbalimbali vya kijeshi kutoa mihadhara.
..andikeni hata operation za Seychelles, Comoro[nadhani walikwenda mara mbili], Msumbiji, na Zimbabwe.
NB:
..ambush ya Lukaya, maandilizi yake, washiriki wake, etc etc, inaweza kuwa kitabu peke yake.
cc: gobore, Moshe Dayan, Shwari, Jasusi, Mzee Mwanakijiji
we jamaa umemsahau brigedia James Luhanga ambaye aliongoza kikosi cha Mizinga
Kanal Tumbi kamanda radi ndio alikuwa mkuu wa kikosi cha mizinga
Kanal Laurian Makunda au torpedo kikosi cha majini