Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Mkuu wengi wetu tumefarijika sana mpaka leo bado nazikumbuka katuni za nduli kwenye magazeti na jinsi gani tulivyokuwa tunamchukia na kumhofu Alhaji Amin miaka hiyo!Pia natupa imani kuwa Bwana Kagame akileta upuuzi wake na atapata zisizoonekana!
Wakati naleta uzi huu nilikuwa naelezea tu kumbukumbu zangu baada ya kuangalia TBC Wakati wanaonyesha siku ya mashujaa lakini kwa kuwa hapa ni kwa GT Mmenipandikizia wazo hili zuri la kutunga kitabu nawashukuru sana wote walionitia moyo katika sehemu hii ya kwanza,Naongea na jamaa ili lengo hilo litimie la kutengeneza kitabu Nimeona kweli kitapendeza sana lakini shukrani nyingi zitakuwa kwenu GT.
Ni wanajeshi wangapi wa Tz waliopoteza maisha kwenye vita ya kagera.
Maana nikiangalia kama ulivyoeleza ni kama wachache
Taaluma ya uandishi wa vitabu Tanzania ilikufa siku nyingi sana baada ya vita wakati uchumi ulipoanza kuharibika, na watu wakaanza kuwa wanatafuta namna ya kusurvive kwa njia yoyote ile. Kwa hiyo manunuzi ya vitabu yakatoweka kabisa. Ndiyo maana kwa muda mrefu Tanzania imekuwa haina maduka binafsi ya vitabu ispokuwa vile vya kiada tu. Vitabu karibu vyote vya fasihi na riwaya viliandikwa kabla ya mwaka 1980: Musiba (ingawa walikuwa akikopi baadhi kutoka Nick Carter), Kezilahabi, Shaffi, Ben Mtobwa, Katalambula, na wengineo waanidhsi mashuhuri waliandika kabla ya mwaka huo wa 1980. Baada ya hapo kukatokea waandishi uchwara sana hasa pale UDSM waliokuwa wakiandika bila kutumia akili, na vitabu vyao vikawa pia havinunuliwi. Uandishi wa vitabu huchochewa na market, watu huandika vitabu ili vinunuliwe.
Niletee drafts nitawasaidia kufanyia editing na typesetting. Nilikuwa shabiki sana wa vita ile wakati nikiwa faru brigade miaka hiyo ingawa binafsi sikupelekwa frontline.
Hii post ya udini imeshaongelewa sana na wahubiri dini hapa na imeshajibiwa na wachangiaji wengi. Hebu fikiria mwanamme mkatoliki akija nyumbani kwako na kukubaka mbele ya mme wako mwislamu (nachukulia kuwa wewe ni mwanamke) unadhani huyo mme wako hatakupigania kwa kusema itakuwa ni udini? Kama hujui jeshi la Uganda lilikuwa na wakristo wengi sana kuliko waislamu; kwa sababu wapiganaji wa amini wengi walikuwa ni wale waliotokea sehemu za Sudan ya kusini ambayo ni ya wakristo tu, ndiyo maana walipigana na Sudani ya Kaskazini kujitenga.Vita ile hata sijui kwanini tulijipeleka kupigana. imetutia hasara tu. Askari wengi wakafa (hasa pale mto Kagera walivomiminia njugu kwenye mitumbwi) zaidi ya askari 1800 hawakurudi mpaka leo.
Uchumi wetu ukadidimia.
Kenya wakatu overtake mpaka leo hii na hatuwapati tena.
Tatizo udini. Udini. Udini.
Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie Obote na sio muislamu Amini.
Pole kwa kujawa na ghadhabu, nadhani unasoma mambo juu juu tu. Hakuna mahali niliposema kuwa nilikuwa mwanajeshi; nilisema nilikuwa mazingira ya jeshi na wala pia sijasema kuwa baba yangu alikuwa mwanajeshi kwani hakuwahi kuwa mwanajeshi katika maisha yake. Nafikiri labda umesoma post ya mtu mwingine au ulijenga hisia hizo kichwani tu kwa kuungaunga posts hasa kwa vile unasoma ukiwa na negative mindset, hivyo ubongo haufanyi kazi sawasawa sasa.Sema we jamaa chai sana!!!
Kuna mahali umesema baba yako ndio alikua mwanajeshi wakati huo.
Hapa unasema wewe ndio ulikua mwanajeshi!!
Mwili unasisimka??? Kwa story ya kukopy na ku-paste
We babu yako huwezi kusema alikuwa mpiga deki wa luteni. Lzm utampa cheo cha boss wake.Asante sana, babu yangu pia alikuwa Luteni. Huyu jamaa Kaahtan sitashangaa kusikia alikuwa mfanyakazi wa Amin upande wa mfua c.h.u.pi za Amin maana analeta jokes kwenye National patriotism.
I am proud of you heros!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ndugu mgambo umeulizwa hapo juu.Wakati naleta uzi huu nilikuwa naelezea tu kumbukumbu zangu baada ya kuangalia TBC Wakati wanaonyesha siku ya mashujaa lakini kwa kuwa hapa ni kwa GT Mmenipandikizia wazo hili zuri la kutunga kitabu nawashukuru sana wote walionitia moyo katika sehemu hii ya kwanza,Naongea na jamaa ili lengo hilo litimie la kutengeneza kitabu Nimeona kweli kitapendeza sana lakini shukrani nyingi zitakuwa kwenu GT.
Truth has to be proven by authentic sources otherwise it remains as a story.Yeah! That is the TRUTH unless you have a different version to prove that what was written was not the whole TRUTH.
Teh teh teh.Mwili unasisimka??? Kwa story ya kukopy na ku-paste
Siku nyingi kitabu kiko sokoni nataka tena ku-Reprint July mwaka huu!!!Ndugu mgambo umeulizwa hapo juu.
Huu mwaka wa 7 hujaandika hicho kitabu.
Au bado karatasi zinaleta tabu?
Sema tukufanyie mchango hapa.
Kanuni moja ya MUONGO Inakusumbua inayosema "UKITAKA KUWA MUONGO USISAHAU ULICHOSEMA".!
Sasa tazama unavyojichanganya.!
Teh teh teh teh.
Dah.
Naona Udini unakutesa sana mpaka umefikia kiasi cha kusema uongo mweupe kuwa tulipoteza askari 1800 hiyo idadi uliipata wapi?? Hata hivyo wanajeshi wetu hawakupita hapo kwa mitumbwi kama unavyodai hata hivyo endelea kuteseka na Udini wako ambao hautakusaidia chochote!!Vita ile hata sijui kwanini tulijipeleka kupigana. imetutia hasara tu. Askari wengi wakafa (hasa pale mto Kagera walivomiminia njugu kwenye mitumbwi) zaidi ya askari 1800 hawakurudi mpaka leo.
Uchumi wetu ukadidimia.
Kenya wakatu overtake mpaka leo hii na hatuwapati tena.
Tatizo udini. Udini. Udini.
Nyerere alitaka Uganda itawaliwe na Mkatoliki mwenzie Obote na sio muislamu Amini.
Nipe jina la kitabu ulichotunga wewe.Siku nyingi kitabu kiko sokoni nataka tena ku-Reprint July mwaka huu!!!
Tofautisha UKWELI na Udini.Naona Udini unakutesa sana mpaka umefikia kiasi cha kusema uongo mweupe kuwa tulipoteza askari 1800 hiyo idadi uliipata wapi?? Hata hivyo wanajeshi wetu hawakupita hapo kwa mitumbwi kama unavyodai hata hivyo endelea kuteseka na Udini wako ambao hautakusaidia chochote!!
Mjukuu wangu kahtaan na mwenzako Chuki zenu juu ya Nyerere na Udini wenu haviwezi kabisa kuwasaidia nyinyi endeleeni tu Kuteseka na roho zenu za Chuki.Kwetu sisi kazi waliyotutuma wananchi wa Tanzania tulishaimaliza na tukarudi kishujaa nyinyi endeleeni kuteseka!!!Tofautisha UKWELI na Udini.
Nyerere alikwenda Uganda kwa hiari yake?
Uganda ilimhusu nini Nyerere na watanzania?
Acha kuandika vitu kwa hisia.
Kanisa KATOLIKI ndio lililomuamuru Nyerere aende Uganda kumtoa Idd Amini .
Matokeo yake watanzania wakafa km kuku wenye mafua.
Af! some people, bana shida sana uliambiwa ku-copy na pst ni dhambi? mbona weye hujaweza? na hutoweza.Mwili unasisimka??? Kwa story ya kukopy na ku-paste
Teh teh teh.Kama walifyatua magoboli fujo ikaisha basi wana akili sana!
Umekosea mimi siyo shangazi yako, mkuu kaulize tena baba yako shangazi zako ni nani?! ....naona kila anaye mtumia anakudanganya ni shangazi yako?
Ok! Mkuu usinionee wivu? kwa Waume zangu?, nifuate PM nitakufanyia mpango uliwe kidogo uone raha, nunapenda? si wanakupa hela? gari, nyumba! karibu! hakuna atakaye jua! Usiogope!
ushoga ni maradhi? ndivo ulivodanganywa huko madrasa?
Huyu si mgambo ni Luten canal. mwenye mafanikio! JKT ulikuwa nanga sana wewe, hukuelewa vyeo vya jeshi wewe. bichwa zito, na hutaelewa ndo maana kila kitu Mgambo!Yaani ni shida!
Huyu mgambo katusumbua hapa mwaka wa 3 huu na story zake.