hiyo ya kupigana ukiwa ndani ya maji kwa week mbili,ni balaa.kuna mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita hivi aliniambia alitembea kwa miguu umbali wa takribani kilimeter 500 ama zaidi akiwa vitani kuelekea kampala,naomba experience yako pia juu ya hili
Kweli kwenye msafara wa Mamba kenge nao wamoHio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!
Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji.
Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010
Nshimanyi na wengine wengi sana wametajwa kwenye sehemu ya pili ya historia hii vuta subira nitaitoa mda si mrefu.
Habari hiyo kwenye changamoto na Vituko kwenye uwanja wa vita nimeelezea kwa kirefu sana hii inatokana na madhara yaliyowapata askari waliopigana vita hii itkuwa sehemu ya piliasante kaka watoto wake used to be proud of their father lakini baadae wote wali commit suicide!very beutiful young ladies,kweli karma is a bitch na ukiishi kwa upanga utaish kwa upanga
Kweli kwenye msafara wa Mamba kenge nao wamo
echolimo,Kwenye sehemu ya pili nitajikita zaidi kwenye medani za kivita vituko na mikasa kwenye uwanja wa vita vya KAGERA.
Acha kua mjinga wewee!Mh?! Wewe unaweza kuwa Nape mzee wa propaganda hak,ya nan tena.
Mkuu Echolima hii story umeandika wewe kwa mkono wako? Naona ina mtiririko mzuri lakini naona kuna maeneo imeandikwa kwa kingereza kizuri lakini wewe mwenyewe unapocoment Kitu kwa kingereza nakuona kama kingereza chako sio kizuri sana. Hayo Maneno ya kingereza nani kayachomekea katikati?