Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
- Thread starter
- #21
Hii ilitokea sana kwenye vikosi vingi maana kipindi hicho kilikuwa cha masika na mwaka huo ulikuwa na mvua nyingi sana kama Infrantry yaani askari wa miguu ilibidi kutembea kipindi chote cha mapambano na ndicho kilichomfanya Kamanda MWITA Akaitwa KAMBALE Maana alipigana kipindikirefu wakiwa kwenye maji hiki ni kitu cha kawaida kwa Infrantry.kilichokuwa kinatafutwa ni ku-WIN THE APPOTUNITY ya kumshinda adui.
hiyo ya kupigana ukiwa ndani ya maji kwa week mbili,ni balaa.kuna mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita hivi aliniambia alitembea kwa miguu umbali wa takribani kilimeter 500 ama zaidi akiwa vitani kuelekea kampala,naomba experience yako pia juu ya hili