Brothers Karamazov Senior Member Joined Jul 13, 2023 Posts 152 Reaction score 393 Aug 18, 2023 #581 naumbu said: kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji. Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010 Click to expand... Kuna uzi hapa niliuweka juu ya kisa cha huyu. Kuna member alinieleza kuwa hakupigana Kagera war.
naumbu said: kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji. Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010 Click to expand... Kuna uzi hapa niliuweka juu ya kisa cha huyu. Kuna member alinieleza kuwa hakupigana Kagera war.
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 3, 2024 #582 Hii Story haikuisha. Kwenye huu msiba wa Jenerali Msaafu Musuguri si ingeendelezwa?
Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Nov 21, 2024 #583 kahtaan said: Hio usiite vita! Hio ilikuwa ni fujo tu! Na ghasia za watu wenye magobole! Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!? Click to expand... Sababu Idd Amin alipigwa? Kama angeshinda ndo ingekuwa vita? Idd amin na Walibya wake walipata kipigo hadi kuondolewa madarakani na magobole.
kahtaan said: Hio usiite vita! Hio ilikuwa ni fujo tu! Na ghasia za watu wenye magobole! Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!? Click to expand... Sababu Idd Amin alipigwa? Kama angeshinda ndo ingekuwa vita? Idd amin na Walibya wake walipata kipigo hadi kuondolewa madarakani na magobole.