Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji.

Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010
Kuna uzi hapa niliuweka juu ya kisa cha huyu. Kuna member alinieleza kuwa hakupigana Kagera war.
 
Hio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!

Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
Sababu Idd Amin alipigwa? Kama angeshinda ndo ingekuwa vita? Idd amin na Walibya wake walipata kipigo hadi kuondolewa madarakani na magobole.
 
Back
Top Bottom