Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
sababu ya kwanza ni utawala wa kidikteta wa idd amin uganda kubomoa daraja la mto kagera mtukula na maneno ya kebehi kwa baba wa taifa pia alitangaza kwamba kagera ni sehemu ya uganda na alichoma bendera ya taifa na ya chama cha mapinduzi hadharani vilevile alisema anataka jeshi lake lifike mpaka dar es salaam yaani liiteke dar jamaa alikua anajiamini sana kwasababu alikua anaona tu kwamba sisi watanzania ni wapole sana kumbe uwezo tunao na nguvu tunayo nadhani waganda mpaka leo wanatuogopa maana tulipiga mpaka tukatokezea ethiopia!
Sina uhakika na hili lakini nahisi uko very very wrong mkuu gharama ya ile vita ukilinganisha na hiyo sabu du! hapana kama nikusambaza ukimwi wangeweza ku2mia njia ambayo isingeinvolve mauaji kama yale na gharama kama hizo..Nilisikia maneno, sina uhakika nayo kwamba ''hiyo ilikuwa njia ya kusambaza ukimwi afrika ya mashariki!" naomba kusahihishwa!
kwa research za harakaharaka mie nadhani amin ndiye aliekua mkorofi man any way ngoja nipitie tena maana hizo nilizitoa kichwani na nikapitia faster literature zangu so wait nitakupa jibu ila kwa ile vita sidhani kama alikua mkorofi ni nyerere man!Kilimasera ukiona mdogo wakoa anampiga ngumi mwezio na mwenzi akarudishia mkorofi ni yule aliyeanza kurusha ngumi??
Tafuta Literatures, uliza waganda, nenda kulia nenda kushoto......
Uganda mpaka leo wanamkumbuka Amin! ambaye wewe unamwona dictator
Amin aliua makumi
Obote kaua maelfu
Museven kaua makumi elfu.......
Kwa kufupi mkuu, Nyerere alikuwa na mtu ambaye anatakwa sana na Amin..Mr.Obote,
kwa kifupi ulikuwa mpango wa Nyerere kumuweka Obote madarakani!!! yale ya kagera n.k ni hasira za Amin, ukweli NYERERE NDIYE ALIKUWA MKOROFI!!!!!
Vita ya Kagera na sababu za KIDINI. Nitafafanua. Idd amin alikuwa ni mmoja wa viongozi ambao ni mwiba kwa mataifa ya Marekani na Uingereza. Alikopa fedha WB kwa ajili ya maendeleo ya nchi na badala yake alijenga msikiti ambao unakadiriwa kuwa ni mkubwa ktk A.Mashariki. Na alikuwa mbioni kutangaza Uganda kuwa nchi ya kiislam kitendo kilichowakasirisha mabwana hao wa ulaya.
Ilikuwa ngumu kwa wao kujiingiza 1kwa1 ktk kumuondoa madarakani na badala yake wakaamua kuitumia tz km walivyofanya kule NJUWANI huku wao wakiwa nyuma ya tz kwa kutoa silaha za kivita. Pia Nyerere alikabidhiwa eneo lote la A.Mash.kuusimamia ukristo na kuuendeleza. Hivyo ilikuwa ni lazma awajibike ipasavyo.
Kwa kusema ukweli Tz hatukuwa na uwezo wa kumng'oa Idd Amin wala kule NJUWANI. Pia kuhusu kula nyama za watu, hakuna kitu km hicho hata hizo filamu wametengeza haohao(marekani na uingereza) ili kunakshi uongo wao watu waamin kile walichofanya. Mifano mingine ni sudani na angola (huu ni mjadala unaojitegemea).
Nyerere hakuwa na 'UWEZO' wala 'NIA' Na huo ndio ukweli wenyewe mkuu.
Kilimasera ukiona mdogo wakoa anampiga ngumi mwezio na mwenzi akarudishia mkorofi ni yule aliyeanza kurusha ngumi??
Tafuta Literatures, uliza waganda, nenda kulia nenda kushoto......
Uganda mpaka leo wanamkumbuka Amin! ambaye wewe unamwona dictator
Amin aliua makumi
Obote kaua maelfu
Museven kaua makumi elfu.......
Kwa kufupi mkuu, Nyerere alikuwa na mtu ambaye anatakwa sana na Amin..Mr.Obote,
kwa kifupi ulikuwa mpango wa Nyerere kumuweka Obote madarakani!!! yale ya kagera n.k ni hasira za Amin, ukweli NYERERE NDIYE ALIKUWA MKOROFI!!!!!
naskia kuna mkono wa waingereza na wamarekani, sina uhakika nahitaji maelezo kwa wanaojua zaidi. Amini alikua na silaha pamoja na jeshi lililojitosheleza zaidi yetu, je ilikuaje tukashinda?tulitumia satelite za nani ku target majeshi ya amini?na kwanini? Kuna siri nyingi wakubwa.
Wana jamvi nilifanya utafiti kuhusu vita hiyo,pia nikaandika makala yenye kurasa 50,mzee hamad hemed mtz mwenye asili ya kiarabu alikua huko wakati wa vita hiyo na anasema amin alipendwa sana na aliwapeleka maka kuhiji waislam wengi bure.
Pia urafiki wake na gadaf pa 1 na mataifa ya uislam iliwaudhi wamarekani, pia kitendo cha kuwashinikiza wana diplomasia na viongozi wa uingereza walioenda uganda kumbeba juu na kuzunguka nae kampala kama walivyotumikishwa watu weusi kwenye biashara ya utumwa iliwauzi sana, hivyo nyerere akapewa dili la kumuangusha amin, mzee J Kenyata akamwambia amin dhidi ya mpango huo ndio amini akatangaza vita dhidi ya tz kwani alishajua mpango mzima nyerere na jesh lake masikini halikua hata sare za kutosha na wengine walikua wanafunga kudu kwa kukosa mikanda,alitumia rada na satelite za waingereza kumpiga amini, hakua na uwezo wala sababu ya msingi.
Naishia hapa wengine waendelee.