Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la kusoma ughaibuni kukulia huko huko unarudi home kutaka vyeo, unapokosa cheo ndo unaanza kusoma historia ya tz.,
mambo ya zamani unayakumbuka leo,
mbona kuna mengi tu yaliyotokea baada ya iddi amini dada.
Huyu tena nani anayeneemeka kuwatumikia wananchi wa bara la AFRIKA huko uthunguni?
Tatizo la kusoma ughaibuni kukulia huko huko unarudi home kutaka vyeo, unapokosa cheo ndo unaanza kusoma historia ya tz.,
mambo ya zamani unayakumbuka leo,
mbona kuna mengi tu yaliyotokea baada ya Iddi amini dada.
The senior Le Mutuz akiwa na Dag HammerskJold na Marti Ahtisaari
I hope hii haikuwa ni awamu ya kwanza maana awamu ya kwanza. mambo mazuri yalianza baada ya awamu ya kwanza kuisha
Acha upotoshaji usio na tija. Nani amesema Waganda hawakuwa na ruhusa ya kurudi kwao?! Ninachosema ni Waganda katika sura ya uanajeshi walioingia Uganda kutokea Tanzania na kwenda kufanya jaribio la mapinduzi na baada ya kushindwa kwa jaribio hilo wakarudi tena Tanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba Tanzania ilihifadhi Waganda wanajeshi waliokuwa na lengo la kuipindua serikali ya Amin. Hilo halikubaliki hata kidogo .!!Suala la Tanzanaia kujihusisha na harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika ni suala lililokubalika kisheria. Na usizani kwamba Tanzania ilikurupuka tu from nowhere na kujiweka mbele kwenye suala la ukombozi bali Tanzania ilikuwa ndo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ambayo ilikuwa chini ya OAU ambao kama sikosei ilikuwa au iliwahi kuongozwa na Gen. Hasheem Mbita. Hivyo basi suala la Tanzania na ukombozi kusini mwa afrika ilikuwa ni kutekeleza wajibu wake kama Makao Makuu ya Kamati Ya Ukombozi na ndio maana wapigania uhuru kutoka nchoi mbalimbali walipewa hifadhi hapa na kuruhusiwa kuendesha harakati za ukombozi kutokea hapa.
Na kuhusu kama uwepo wa Amin Kampala ilikuwa salama kwetu jibu ni kwamba ilikuwa salama hadi pale Tanzania ilipoamua kuitumia ardhi yake kama uwanja wa mafunzo wa watu waliokuwa wanampinga Amin. Maswali mengine uliyohoji sidhani kama yana msingi....!!!
Pukudu,sio wewe hata mi nimejifunza mengi saana, ila nimeugundua Kuwa negative side Nyerere inafichwa sana Sijui kwa nini but he also a failure in some areas
chama,Mkuu Mkandara
Waganda hawakuwa na mapenzi na Idd Amin walikuwa na hofu wakati wa utawala wa Amin ilikuwa ummpende yeye ama uuliwe; Amin alishajijengea utamaduni wa kuua wapinzani wake aliauwa mamia ya askari wanye kutoka makabila ya Acholi Lango, aliuuwa Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana, gavana wa benki kuu, waziri wake mkuu; kwa ujumla waganda walitawaliwa na hofu na si mapenzi.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Jasusi,Zakumi,
Let me help our friend Chama in one aspect. It is true that Amin's army was better equipped. But his army was basically mechanized. That meant the vifarus had to go on tarmac while our infantry was on foot and could fight in matoke farms.
Actually that is what happened to the Libyans. While they depended on tarmac roads we were able to ambush them from the bushes. Most of the military equipments brought in by Libyans were captured by us.
Mkuu Mkandara;
Amin alikuwa ni Dikteta wapo wachache ambao walinufaika na utawala wake hao lazima walimpenda; lakini mganda wa kawaida hakuna aliyempenda na hii ndio ilichangia anguko lake kirahisi; hofu iliwatawala waganda; hata kama kiongozi unapingwa na viongozi wa dini tendo halijustify uwauwe wapinzani wako. Hivi Mkandara inakuingia akilini kusema Askofu alifanya kosa kukemea mauji yaliyokuwa yakifanywa na Idd Amin?
Chama
Gongo la Mboto DSM
Waberoya;
Baada ya kuisoma link uliyoweka Nyerere hakuwa na kosa vita ilikuwa sahihi; ukweli hakuna cha ajabu aliyoyafanya Nyerere ndiyo yanayofanyika sasa hivi; ni kweli vita vimetutia gharama bali gharama ya kumwacha Amin abakie madarakani ingekuwa kubwa zaidi. Ni raisi mpumbavu tu ndiye angeweza kumvumilia Amin.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Kwa sababu umeamua kujifumba macho ili usione naomba kumalizia kwa kusema kwamba, Cha msingi ni Kwamba alichokitaka Mwalimu kuwa kilikuwa, Idd Amin Aliondoka Kampala, Full Stop na baada ya hapo kama ni kweli baadhi yenu mnavyosema humu ndani kwamba alikuwa anasukumwa na dhamira ya kidini, basi pia ikawa hivyo chokochoko za viongozi au mataifa yanayoongozwa na viongozi wenye msimamo wa kiislamu nazo officially alizizima.