Sitaongea mengi kwa sasa coz' nipo kibaruani....but let me just say "come on Chama", ru serious in wht u've said in red!?! Tulijadili hilo baadae!
NazDaz
Piga kazi tujenge taifa baadaye
Chama
Gongo la Mboto DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaongea mengi kwa sasa coz' nipo kibaruani....but let me just say "come on Chama", ru serious in wht u've said in red!?! Tulijadili hilo baadae!
siungepita tu kama huna cha kuchangia?Hizi ni dalili za usingizi, kashii ukalale!
siungepita tu kama huna cha kuchangia?
Waganda hawakuwa organised kiutawala kama TZ baadanya Idd Amin kukimbia nchi.Viongozi walioingia madarakani,kina Yusufu Lule,Godftey Binaisa,Tito Okello na hatimaye Milton Obotte nao waliingia kwa kuanza kulipa kisasi na kuua watu kwa msingi wa ukabila na ujimbo.Ndio maana hawakupata wazo wala fursa ya kuwahifadhi vema wahanga wao wa vita.
Sie baada ya vita tulitulizana ndio maana utaona kumbukumbu za wahanga pale Kaboya,Mafinga na hata Lukumbulu.walipofia askari kwa ajali ya basi lililokuwa linawarejesha makwao Ruvuma.
Wewe hujui !! ni vema ukanyamaza !!! ungeangalia kipindi cha miaka 50 ya uhuru siku ya ijumaa tarehe 9 desemba hakuna cha kujivunia ni vita ya kagera! ndio kitu kikubwa walichokiona! vita ile aliianzisha Nyerere na Amin akasema "Anatuchokoza TUTAMFUATA MPAKA HUKO DARISALAMA" tena kwa kiswahili !!! usicheze na politics kwani ni mchezo mchafu !!! Rais wa madarakani anashika kila upande mahakama, medias na vitu kibao inapotokea kutaka kupotosha atatumia medias na inapotokea anataka kudhulumu atatumia madaraka yake katika mahakama ! majina yote alompa idd amin leo hii kama nyerere angekuwa hai nadhani yeye ndio alistahili kupewa majina yale ..
Niliwahi kucomment kwenye uzi wa nyerere rais mbovu nilichokosea sikucomment vizuri maana nilikuwa na hasira nae nyerere kuna watu waliniambia nikapige mswaki, wengine wakaniambia nina fikra za kimadrasa ! ukweli ndio huo sasa !!! nyerere was a dictator..na akamrithisha mtoto wake muadilifu pia mkapa ambae alimtumia sana wakati mkapa anafanya kazi kama sikosea Daily News nilikosea nikasema radio tanzania! nyerere alimtumia sana mkapa kueneza propaganda zake wakati yeye rais na mkapa alitumiwa kueneza habari zozote za kupotosha umma wa watanzania ili mradi kutimiza lengo na AHSANTE YAKE NDIO AKAMNADI KUWA NI KIJANA MUADILIFU! MSAFI ! AKAMZAWADIA URAIS ... ngoja tuzidi kusikia watu wanasema nini !!! ahsante sana muungwana uloandika uzi huu ! leo nimefurahi sana ALAANIWE NYERERE MPAKA SIKU YA KUFUFUKA KWAKE!!!!
hivi nyinyi watu kama kweli tz ilisaidiwa na mataifa ya nje imekuaje tuwe na kovu kubwa la kiuchumi hadi leo?Wana jamvi nilifanya utafiti kuhusu vita hiyo,pia nikaandika makala yenye kurasa 50,mzee hamad hemed mtz mwenye asili ya kiarabu alikua huko wakati wa vita hiyo na anasema amin alipendwa sana na aliwapeleka maka kuhiji waislam wengi bure.
Pia urafiki wake na gadaf pa 1 na mataifa ya uislam iliwaudhi wamarekani, pia kitendo cha kuwashinikiza wana diplomasia na viongozi wa uingereza walioenda uganda kumbeba juu na kuzunguka nae kampala kama walivyotumikishwa watu weusi kwenye biashara ya utumwa iliwauzi sana, hivyo nyerere akapewa dili la kumuangusha amin, mzee J Kenyata akamwambia amin dhidi ya mpango huo ndio amini akatangaza vita dhidi ya tz kwani alishajua mpango mzima nyerere na jesh lake masikini halikua hata sare za kutosha na wengine walikua wanafunga kudu kwa kukosa mikanda,alitumia rada na satelite za waingereza kumpiga amini, hakua na uwezo wala sababu ya msingi.
Naishia hapa wengine waendelee.
Bila shaka Mwalimu alimchukia Banda kv Banda alikuwa ni kibaraka mkubwa wa makaburu. Ni hatari sana kuwa na jirani ambae ni swahiba wa adui yako! Hata hivyo, case ya Banda ipo tofauti kidogo na Amini hata kama wote walikuwa wana-claim sehemu za Tanzania kuwa ardhi halali ya nchi zao.
Wakati naamini kwamba Mwalimu alimchukia Banda kwavile alikuwa ni kibaraka lakini alimchukia Amin kwa kumuona ni jambazi tu lisilofaa kuongoza hususani kama kuongoza huko kulikuja baada ya kumpindua mtu (Obotte) ambae Mwalimu alimwamini!! Pamoja na kwamba Mwalimu aliwapa hifadhi wapinzani wa Banda, lakini bado kunatofauti kati ya kutoa hifadhi kwa wapinzani wa rais X na kutoa military support kwa wapinzani wa rais X. All in all, mfano wako unafanya contradiction....au kwa maana nyingine unampa credit Banda na sio Mwalimu kwamba, pamoja na ukweli kwamba Mwalimu alitoa hifadhi kwa wapinzani wa Banda, lakini Banda hakufanya serious abuse dhidi ya Mwalimu kama ambavyo alifanya Amin.
Duh raha kweli nilikuwa nafyonza elmu adimu sana siku hizi JF.Wakuu JokaKuu,Waberoya,Sikonge na wachangiaji wengine tafadhali sana muendelee kutupa darsa.
Kama swali lako linahusu haki za binadamu ni kweli ilikuwa haki kabisa kuwapa hifadhi akina Yoweri hapa Tanzania.Je ilikuwa ni haki kuwaweka kina Yoweri hapa Tanzania wakati id amin akitawala
JokaKuu..at least Kamuzu Banda madai yake kuhusu Ziwa Nyasa yalikuwa yanabebwa na Heligoland treaty.
..sasa madai ya Iddi Amini kuwa eneo la Kagera ni mali ya Uganda yanahalalishwa na kitu gani?
..hivi ndugu yangu, hudhani kwamba Amini alifanya makosa kutuvamia, kuuwa ndugu zetu, kuharibu mali, na kulikalia kwa mabavu eneo la Kagera?
..wewe kwa mtizamo wako unafikiri Mwalimu Nyerere na wa-Tanzania walipaswa kufanya nini katika mazingira yale?
cc Jasusi, chama
JokaKuu,..at least Kamuzu Banda madai yake kuhusu Ziwa Nyasa yalikuwa yanabebwa na Heligoland treaty.
..sasa madai ya Iddi Amini kuwa eneo la Kagera ni mali ya Uganda yanahalalishwa na kitu gani?
..hivi ndugu yangu, hudhani kwamba Amini alifanya makosa kutuvamia, kuuwa ndugu zetu, kuharibu mali, na kulikalia kwa mabavu eneo la Kagera?
..wewe kwa mtizamo wako unafikiri Mwalimu Nyerere na wa-Tanzania walipaswa kufanya nini katika mazingira yale?
cc Jasusi, chama