Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

Elewa hoja yangu, ni kwamba inawezekana kuna waislam nchini Marekani lakini Marekani sio nchi ya kiislam hivyo haiwajibiki kujua nini msimamo wa uislamu katika jambo lolote na hata Tanzania pia tuko hivyo hivyo.
Tumezungumzia vita vya kibiashara kwa ujumla ambavyo Marekani havifanyi nchini kwake pekee.Anafanya kwa ulimwengu mzima ambao una waislamu wengi.
 
Niambie ukweli. Saudia kuna Kanisa la dhehebu gani.
 
Umetajwa kwa urefu kuwa utauona ufalme wake lakini katika namna ya kuchukiza kama utakufa bila kufuata maamrisho yake.
Unaweza kuyafuata mafundisho yake hata kama hufuati tamaduni za kigeni kama mababu zetu walivyokuwa wakifanya.
 
Hivyo ndivyo walivyoamua kuishi kwa hiyo achaneni nao
 
Duh! Naona unahamisha magoli sasa, hayo mambo ya Uislamu yameingiaje hapa?
 
Huyu jamaa ana mambo ya kihanithi sana kila anapokuwa yeye.! Anajifanya mpingaji na mjuaji wa kila kitu. Sijui nini kinamsumbua katika haya maisha ,ni amekuwa hana utulivu kabisa wa akili.! Anawaza chuki muda wote.
 
Tumezungumzia vita vya kibiashara kwa ujumla ambavyo Marekani havifanyi nchini kwake pekee.Anafanya kwa ulimwengu mzima ambao una waislamu wengi.
Marekani kama nchi huru ina haki ya kuweka mbele maslahi yake bila kujali wasio wamarekani watasema nini.
 
Kwa hiyo wewe unaamini muislam anaweza kwenda mbinguni
Waislamu
wana Mbingu yao yenye Mito ya pombe, masega ya Asali na Mabwawa ya Maziwa ya kunywa, bila kusabu Mabinti 72 bikra kwa kila Mwanaume:
Ndio wataenda huko:
Mi siwezi kuwabishia kwani ni fadhira toka kwa Mola wao kwa waislamu Watu au Majini wamchao Allah
 
Huyu jamaa ana mambo ya kihanithi sana kila anapokuwa yeye.! Anajifanya mpingaji na mjuaji wa kila kitu. Sijui nini kinamsumbua katika haya maisha ,ni amekuwa hana utulivu kabisa wa akili.! Anawaza chuki muda wote.
Ndugu mjumbe kwani katika hayo maoni yangu nimeonesha chuki gani ?

Kusema kwangu kuwa napenda kuishi kama WAHDZABE ndio chuki hiyo?
Kuishi porini kwenye utulivu na amani wewe unanishangaa...!

Wewe ulitaka niishi wapi na kwa akina nani ?
Ili unisifie kwa kuonekana kuwa nina upendo?

Hebu nichagulie sehemu ya kuishi na niambie ni kwanini niishi huko
 
Subiri kwanza umesema waislam watapata mabikra 72 kila mwanaume
 
Na wakristo nyinyi mna nini huko mbinguni
Ahadi Waliyo ahidiwa Wakristo ni ahadi ambayo haijawahi kutolewa kwa Binadamu, Malaika, Shetani au Jinni.
Ahadi yenyewe ni hii hapa
....................
Yohana 1:10
Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
..................
Ukiwa na hadhi ya kuwa mtoto wa Mungu ni kwamba uko juu ya mahitaji ya kimwili kama hayo ya kibinadamu:

Unakuwa juu ya habari za kunywa Maziwa na Asali, na kufurahia wanawake warembo:
Unakuwa mtawala wa viumbe vyote, yaani Mfalme wa Kiroho:

Hakuna kiumbe kilichowahi kupewa hiyo ahadi toka dunia iumbwe:
 
Mkuu naulizia malipo ya kutenda mema kwa wakristo huko mbinguni ni nini
 
Mkuu naulizia malipo ya kutenda mema kwa wakristo huko mbinguni ni nini
Hivi ukiwa mtoto wa Mungu unahitaji malipo gani zaidi ya hayo?
Mwana wa Mungu anakuwa na uwezo wa kufanya chochote kinachompendeza yeye na Mungu.

Ndio maana Yesu Kristo hakuitamani dunia na sheshe zake:

Akitaka mvinyo anautengeneza kwa neno tu:
Akitaka kula mikate na samaki anatamka tu na inakuja:

Sasa ukiwa na huo uwezo unahitaji nini tena:
Uwana wa Mungu ndio kikomo cha uhitaji:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…