Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau:

IMG_20211211_161824_341.jpg

Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli.

Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani?

Watuonyeshe mbaya wetu.

Zikawe ama zake ama zetu!
 
Hatujawahi kuwa kwenye vita ya kiuchumi, umaskini tulionao ndio vita yetu kuu na tumekuwa tukipigana toka tupate uhuru, licha ya utajiri wa rasilimali zote tulizonazo lakini bado mpaka leo umaskini umetapakaa nchi nzima, kuna kila dalili tunaenda kushindwa hii vita.
 
Anayesema hatuna mgonjwa hata mmoja, ni yule yule aliyetuhakikishia kuwa jiwe ni buheri wa afya busy na mafaili.

Huyu si bora angepita kimya kimya tu?
 
Wanawekeza nguvu kupambana na Chadema huku mambo ya msingi kama uchumi na usalama wakisahau... Wapumbavu sana hawa ccm
 
Back
Top Bottom