Hatujawahi kuwa kwenye vita ya kiuchumi, umaskini tulionao ndio vita yetu kuu na tumekuwa tukipigana toka tupate uhuru, licha ya utajiri wa rasilimali zote tulizonazo lakini bado mpaka leo umaskini umetapakaa nchi nzima, kuna kila dalili tunaenda kushindwa hii vita.
Katika harakati za kupata pesa za misaada ya Covid...