K Kitakuta JF-Expert Member Joined Oct 4, 2024 Posts 297 Reaction score 325 Nov 3, 2024 #1 Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. View: https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. View: https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 3, 2024 #2 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Nov 3, 2024 #3 Kuitenganisha Marekani na Israeli ni sawa na kuitenganisha Marekani na jimbo la California.
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Nov 3, 2024 #4 Jasmoni Tegga said: Kuitenganisha Marekani na Israeli ni sawa na kuitenganisha Marekani na jimbo la California. Click to expand... Naunga mkono hoja marekani ni israhell na kinyume chake pia ni sahihi
Jasmoni Tegga said: Kuitenganisha Marekani na Israeli ni sawa na kuitenganisha Marekani na jimbo la California. Click to expand... Naunga mkono hoja marekani ni israhell na kinyume chake pia ni sahihi