Vita vya Palestine na Israel ni vita ya kugombania Ardhi na mipaka yao kwa miaka maelfu Kabla ya ukristo na uislam, ni ujinga kudhani nivita ya kidini

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine

Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili

Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa

So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita

Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
 
Ni Israel ndio ambao wanatumia Scriptures zao za kidini kuhalalisha kuwa Aridhi ni mali yao walipewa na Mungu

So watu wakwanza kabisa wanaoleta udini katika hili ni waisraeli
 
Ile ardhi ni ya israel acheni ujinga wa kung'ang'ania maeneo ya israel kwa vigezo vya kidini hata historia inaonyesha israel ilikuwepo wala hapajawahi kuwepo na taifa lililoitwa palestina
 
Umetumia kigezo gani kuona kwamba ile ardhi ni ya Israel Mkuu?
 
Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine

Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili

Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa

So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita

Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
Israel wanachotaka ni nyumba yao ya ibadan, sigagogi, mahala ambapo baba yao Ibrahim alienda kumpotea Isaka awe sadaka, mahali ambapo mfalme Suleman alijenga hekalu, mahali ambapo leo umejengwa msikiti wa Al aqsa. Starti msikiti ubomolewe hekalu lijengwe. Over
 
Labda kabla ya Ukristo
 
Na wala si muda mrefu nyumba yao ya ibada itarudi tena
 
Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine

Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili

Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa

So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita

Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
ni vita ya kidini pia hata kama vita vilianza miaka
wapalestina ni waislam na waisrael ni wayahudi .
Unajua waislam wanavoichukulia??
 
Ardhi gani inagombaniwa na majitu kama hawa kama sio uzombi wa kidini... brazaj

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine

Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili

Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa

So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita

Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
Ni upumbavu ambao wa Arab wameweza ku ubland kutumia dini (Islamic) kwenye vita zote Middle East eg Afghanistan na Palestina hutumia maneno kama jihad (holy war) ku justify vita vyote wanavyo pigana na mataifa au watu wa dini isiyo yao kwa kutumia Quran takatifu na katika hilo wameweza asilimia 100
 
Ni Israel ndio ambao wanatumia Scriptures zao za kidini kuhalalisha kuwa Aridhi ni mali yao walipewa na Mungu

So watu wakwanza kabisa wanaoleta udini katika hili ni waisraeli
vip wa Arab wanavyo tumia maneno kama jihad (holy war) kutoka kwenye Quran takatifu katika vita vyao vyote hasa hasa Israel ambae ni kama kubwa la maadui kwenye kitabu kitakatifu cha Quran
 
Back
Top Bottom