Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Ni Israel ndio ambao wanatumia Scriptures zao za kidini kuhalalisha kuwa Aridhi ni mali yao walipewa na MunguWakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine
Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili
Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa
So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita
Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
Ile ardhi ni ya israel acheni ujinga wa kung'ang'ania maeneo ya israel kwa vigezo vya kidini hata historia inaonyesha israel ilikuwepo wala hapajawahi kuwepo na taifa lililoitwa palestinaNi Israel ndio ambao wanatumia Scriptures zao za kidini kuhalalisha kuwa Aridhi ni mali yao walipewa na Mungu
So watu wakwanza kabisa wanaoleta udini katika hili ni waisraeli
Umetumia kigezo gani kuona kwamba ile ardhi ni ya Israel Mkuu?Ile ardhi ni ya israel acheni ujinga wa kung'ang'ania maeneo ya israel kwa vigezo vya kidini hata historia inaonyesha israel ilikuwepo wala hapajawahi kuwepo na taifa lililoitwa palestina
Israel wanachotaka ni nyumba yao ya ibadan, sigagogi, mahala ambapo baba yao Ibrahim alienda kumpotea Isaka awe sadaka, mahali ambapo mfalme Suleman alijenga hekalu, mahali ambapo leo umejengwa msikiti wa Al aqsa. Starti msikiti ubomolewe hekalu lijengwe. OverWakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine
Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili
Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa
So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita
Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
Labda kabla ya UkristoWakuu kwa kifupi

Na wala si muda mrefu nyumba yao ya ibada itarudi tenaIsrael wanachotaka ni nyumba yao ya ibadan, sigagogi, mahala ambapo baba yao Ibrahim alienda kumpotea Isaka awe sadaka, mahali ambapo mfalme Suleman alijenga hekalu, mahali ambapo leo umejengwa msikiti wa Al aqsa. Starti msikiti ubomolewe hekalu lijengwe. Over
ni vita ya kidini pia hata kama vita vilianza miakaWakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine
Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili
Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa
So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita
Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
Ni upumbavu ambao wa Arab wameweza ku ubland kutumia dini (Islamic) kwenye vita zote Middle East eg Afghanistan na Palestina hutumia maneno kama jihad (holy war) ku justify vita vyote wanavyo pigana na mataifa au watu wa dini isiyo yao kwa kutumia Quran takatifu na katika hilo wameweza asilimia 100Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine
Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili
Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao
Na pia Kuna nyakati Israel anampiga mplestina na kumtawala kama ilivyo Sasa
So ni ujinga na wajinga wanajaribu kuingiza udini kwenye hii vita
Tuwaombee tu amani
Israel Kuna dini zote vile vile Palestine na wote wanapigania nchi zao bila kujali dini zao
vip wa Arab wanavyo tumia maneno kama jihad (holy war) kutoka kwenye Quran takatifu katika vita vyao vyote hasa hasa Israel ambae ni kama kubwa la maadui kwenye kitabu kitakatifu cha QuranNi Israel ndio ambao wanatumia Scriptures zao za kidini kuhalalisha kuwa Aridhi ni mali yao walipewa na Mungu