Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Tupe muongozoHawatamuweza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe muongozoHawatamuweza...
Mimi nimeishia kusoma nilipofika eti USA akiamua kuisambaratisha china ni masaa tu.Kabisa,andiko limejaa blah blah tu badala ya detailed analysis!Kuna mambo mengine tuwaachie wachumi!
Nimeshaangaa aliposema Dollar zikirudi na kurundikana US na Kwa washirika wake wa Karibu basi kutawainua sana kiuchumi!Hii principle gani ya uchumi?[emoji3]
DID YOU KNOW? Robo ya wamarekani wanalala na njaa
Kabla ya kuandika hiki kituko ulikuwa umekula? Maana njaa inaleta upungufu wa akilileo naomba niwe newtro kidogo.
sor pro west wenzangu.
miaka ya 1900+ kama sjakosea.
USA. alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.
ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.
na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi
hapa sasa vita ndioo ilipo.
ngoja tuone. maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama
kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi.
sasa hvi rada zinammulika sana russia.
china yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.
russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana russia.
ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.
kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake.
hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.
maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.
mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.
apo ndio ugumu ulipo.
kwanini.
kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki
alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya china.
mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola.
na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.
taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.
walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.
ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.
Mchambuzi wa wall street huyo🏃nimeamin huwezi kumtenganisha mpumbavu na upumbavu wake ata ukimtwanga kama nafaka.....
hapo ndo umejitenga na pro~West !!!!
Ungechambua report ya CAG hapa Tanzania ningekuona angalau, wewe ni mjinga na mpumbavu hakuna unacho kijua hata kidogo.leo naomba niwe newtro kidogo.
sor pro west wenzangu.
miaka ya 1900+ kama sjakosea.
USA. alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.
ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.
na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi
hapa sasa vita ndioo ilipo.
ngoja tuone. maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama
kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi.
sasa hvi rada zinammulika sana russia.
china yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.
russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana russia.
ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.
kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake.
hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.
maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.
mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.
apo ndio ugumu ulipo.
kwanini.
kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki
alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya china.
mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola.
na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.
taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.
walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.
ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.
Hiyo mimba uliyonayo nafikili utazaa kijini maana jinzi inakusumbua ni hatariii..Ungechambua report ya CAG hapa Tanzania ningekuona angalau, wewe ni mjinga na mpumbavu hakuna unacho kijua hata kidogo.
Uchambuzi wako ni sawa na ya mtotot wa darasa la pili, USA wana akili zaidi ya mama yako na wewe ok, Russia tayari wamezidiwa na kete na hio ndo hamtaki
USA ni akili kubwa kama umetambua anguko la USSR ni mkono wa USA basi amini Russia itasambatishwa pia, alafu ukae wewe mpmbavu kwamba dollar haikuwekwa na Russia iwe pesa ya dunia, hivyo hawezi kuondoa dollar kwenye ramani
Russia apambane na Ukraine aache kutapa tapa sawa, hawezi kusimamisha pesa yoyote isimame dhidi ya dollar duniani ok, Russia nayo nchi bwana si kama Irani tu au Equatorial Guinea nchi ya mtu mmoja ndo upambanishe na USA?
Mama yako ndo ana mimba shoga mkubwa wewe, wewe ni bwabwa pumbavuHiyo mimba uliyonayo nafikili utazaa kijini maana jinzi inakusumbua ni hatariii..
Hapo ndo nimeshaangaa nilijua ataingiza mambo ya inflationKabisa,andiko limejaa blah blah tu badala ya detailed analysis!Kuna mambo mengine tuwaachie wachumi!
Nimeshaangaa aliposema Dollar zikirudi na kurundikana US na Kwa washirika wake wa Karibu basi kutawainua sana kiuchumi!Hii principle gani ya uchumi?[emoji3]
Toka Santuli ya kuachana Dola ianza kuumbwa sijawai sikia kiongozi yoyote wa Us akiongelea Santuli hiyo.
wapo kimya!! as if hakuna kinachoendelea ila wanaotaka kuachana na Dola kila siku vikao.
Ukiona unamtisha Mmeo/Mkeo kumpa talaka but haonyeshi reaction yoyote juu ilo, jitathimini.
Uenda hiyo talaka unayo taka kuitoa ikawa ndiyo anguko completely.
Ungechambua report ya CAG hapa Tanzania ningekuona angalau, wewe ni mjinga na mpumbavu hakuna unacho kijua hata kidogo.
Uchambuzi wako ni sawa na ya mtotot wa darasa la pili, USA wana akili zaidi ya mama yako na wewe ok, Russia tayari wamezidiwa na kete na hio ndo hamtaki
USA ni akili kubwa kama umetambua anguko la USSR ni mkono wa USA basi amini Russia itasambatishwa pia, alafu ukae wewe mpmbavu kwamba dollar haikuwekwa na Russia iwe pesa ya dunia, hivyo hawezi kuondoa dollar kwenye ramani
Russia apambane na Ukraine aache kutapa tapa sawa, hawezi kusimamisha pesa yoyote isimame dhidi ya dollar duniani ok, Russia nayo nchi bwana si kama Irani tu au Equatorial Guinea nchi ya mtu mmoja ndo upambanishe na USA?
Mama yako ndo ana mimba shoga mkubwa wewe, wewe ni bwabwa pumbavu
Yaani midola ikirudi ijae us halafu inflation iwaache salama. Itawapiga kuliko ya 2008. Mleta UZI Kanye uji utakuwa unaumwa.
leo naomba niwe newtro kidogo.
sor pro west wenzangu.
miaka ya 1900+ kama sjakosea.
USA. alisaidia kuunusuru uchumi wa russia