Vita vya Urusi na utawala wa dola

Mimi nimeishia kusoma nilipofika eti USA akiamua kuisambaratisha china ni masaa tu.
 
Kabla ya kuandika hiki kituko ulikuwa umekula? Maana njaa inaleta upungufu wa akili
 
Ungechambua report ya CAG hapa Tanzania ningekuona angalau, wewe ni mjinga na mpumbavu hakuna unacho kijua hata kidogo.

Uchambuzi wako ni sawa na ya mtotot wa darasa la pili, USA wana akili zaidi ya mama yako na wewe ok, Russia tayari wamezidiwa na kete na hio ndo hamtaki

USA ni akili kubwa kama umetambua anguko la USSR ni mkono wa USA basi amini Russia itasambatishwa pia, alafu ukae wewe mpmbavu kwamba dollar haikuwekwa na Russia iwe pesa ya dunia, hivyo hawezi kuondoa dollar kwenye ramani

Russia apambane na Ukraine aache kutapa tapa sawa, hawezi kusimamisha pesa yoyote isimame dhidi ya dollar duniani ok, Russia nayo nchi bwana si kama Irani tu au Equatorial Guinea nchi ya mtu mmoja ndo upambanishe na USA?
 
Hiyo mimba uliyonayo nafikili utazaa kijini maana jinzi inakusumbua ni hatariii..
 
Duh! mwanamke akipenda hajifichi ana loose control ya feelings zake...
 
Hapo ndo nimeshaangaa nilijua ataingiza mambo ya inflation
 
Yaani midola ikirudi ijae us halafu inflation iwaache salama. Itawapiga kuliko ya 2008. Mleta UZI Kanye uji utakuwa unaumwa.
 

Anguko completely [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

sidhan hatA uzi uliusoma kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…