Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza

Bila ya Vita vya Msalaba ulaya yote na Africa tungekuwa ma abdul warumwa wa Allah thanks Roman empire kuzuia Shetani ibilis Allah.. shenz type.. waislam walikuwa wanaua either ubadilishe dini uwe muislam au ufe au ulipe kodi majizi sana nyie
 
Sema Egypt kadinda hayataki maarabu yake asilia sababu yamegeuka majizi... Israel alikuwa anayafurusha kwa nguvu.. ila bado lazima yasepe
 
Usichanganye utaifa na dini. Afghanistan Alienda mmarekani sio dini. Wale akina Biden hata dini hawazjjui ndio maana wanakomaa na lgbtq. Kinachotokea ni kuwa wanabrainwash na kuwaambia kuwa mpigamie dini isis algaeda etc.
LGBTq mpaka kanisa katoliki linaitambua au ulitaka kusema nn!!?
 
Huko Israel ndo kuna dini?
hao mashoga waliojazana huko wanafirana na nani?
Huyo Netanyahu ni muabudu shetani(satanic worshiper)
Wamebarikiwa ila wamekosa baraka, labda tuseme hivyo.
 
Acha upumbavu wewe
 
Mungu hana dini. Ila ana watu wake (watakatifu) wanaomwabudu katika roho na kweli.
Uteule wa Taifa la Israel haimaniishi ni Utakatifu. Mungu anaweza kukuteua kufanya jambo fulani kwa malengo yake maalumu.
Sasa huo uteule haimaanishi kuwa tayari wewe ni mtakatifu. Utakatifu unatakiwa uutafute wewe binafsi kwa kufuata maelekezo ya Mungu- yaani kuacha kuishi maisha ya dhambi. Na ili uweze kuishi maisha matakatifu inatakiwa umkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Kwa ufupi ni kwamba huwezi kuishi maisha matakatifu bila kuomba msaada kwa Yesu Kristo, kwa imani ili akusaidie kuweza kuzishinda dhambi.
 
Ambao ndo hao waisrael taifa teule la kwake yeye sio wewe na mie si ndio
Uteule wa Taifa la Israel haimaniishi ni Utakatifu. Mungu anaweza kukuteua kufanya jambo fulani kwa malengo yake maalumu.
Sasa huo uteule haimaanishi kuwa tayari wewe ni mtakatifu. Utakatifu unatakiwa uutafute wewe binafsi kwa kufuata maelekezo ya Mungu- yaani kuacha kuishi maisha ya dhambi. Na ili uweze kuishi maisha matakatifu inatakiwa umkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Kwa ufupi ni kwamba huwezi kuishi maisha matakatifu bila kuomba msaada kwa Yesu Kristo, kwa imani ili akusaidie kuweza kuzishinda dhambi.
 
Umezungumza vizuri ingawa huko mwisho umechafua kwa kumtaja Yesu.
Sisi waislamu tuna mifano mingi ya Allah kumteua mtu afanye kazi yake halafu alipofanya vibaya akamuadhibu.Mmoja ni nabii Yunus alipokwenda kinyume alimezwa na samaki na akabaki tumboni mwake mpaka alipotubu.
Israel wanajidanganya na utakatifu lakini ni kweli kama unavyosema hata kama wanasema waliteuliwa hawawezi kubaki na hali hiyo kwa matendo maovu wanayowafanyia wenzao na wanayofanyiana wao wenyewe kama vile ushoga.
 
Kwa ufupi ni kwamba huwezi kuishi maisha matakatifu bila kuomba msaada kwa Yesu Kristo, kwa imani ili akusaidie kuweza kuzishinda dhambi.
Yesu huyu huyu alieuliwa na taifa teule la Mungu au yesu gani huyo atakaetusaidia kuzishinda dhambi zetu
 
Yesu huyu huyu alieuliwa na taifa teule la Mungu au yesu gani huyo atakaetusaidia kuzishinda dhambi zetu
Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Warumi 10:9-13
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
[10]Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
[11]Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
[12]Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao;
[13]kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
 
Je allah ni Nani?

Mimi nadhani allah ni aina ya majini au mapepo
 
Masaa 24 yaliyopjita jeshi la IDF limepata hasara kubwa zaidi kwa kuuliwa askari wake 10 zaidi katika mapigano na Hamas.
Kwa mara nyengine kati ya waliouliwa ni afisa mkubwa wa jeshi hilo.
 
Ukichukua Takwimu za Dunia walau kwa miaka hii 100 iliyopita unafahamu Wafuasi wa dini gani wanaongoza kwa ku plan na kutekeleza mauaji kwa Raia wasio na hatia ?

unafahamu kuwa Mpango mzima wa kuua watu laki nane ndani ya siku 90 kwny mauaji ya Kimbari uliratibiwa na dini gani?

unafahamu alietekeleza Mauaji ya Halaiki Wayahudi 6 million kwny Second World War hakuwa Muislam wala mpagani ?

unafahamu Wa South Africa wameteseka kwa karne kadhaa kwa mateso ya watu waliokuwa wana share nao imani ya dini ?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…