Vita ya 3 ya dunia (WW3)

Watu wanazungumzia conventional war, siyo hizo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kaandika wap io conventional?

Mpaka vita ya uchumi ipo km unavoona nordstreem kutobolewa,makamanda wa iran kuuwawa......

Ila wasiwasi wangu kuna vitu vinaendelea behind the scene...Hawa hamas na mashaka nyuma kuna watu wazito wanasponsor


Na vita zote za fighting war zilianza hivihivi pande kuwanyika
 
Kwani Ww3 maana yake nini? em tueleze unavyoelewa
 
Kwani Ww3 maana yake nini? em tueleze unavyoelewa
Kutokana na mada hii. Nategemea WW3, Inayoongelewa ni vita ya tatu ya dunia(sijui kama umeelewa maana swali lako limekaa kidharau na kimajigambo kwamba unafahamu sana) acha nikujibu.
Baado hatuwezi itafsiri world war 3 kwasasa. Itapotokea tutaipa maana.
 
Swali langu umelielewa? Naomba jibu kulingana na nilichouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…