Vita ya Aleppo inaanza tena

Hili gazeti kwakweli siwezi kulimaliza, Anza upya
 
Russian newspaper Izvestia:

The major terrorist attack on Aleppo was coordinated between Turkish Intelligence and Ukrainian intelligence and French intelligence with Israeli support and American approval.

The planning had been in progress for two months and the attack was supposed to take place next March, but the events in Lebanon contributed to the urgency.

@meiaagency
 
Sehemu yote ikiwa chini ya udhibiti wa serikali huu mgawanyiko hauwezi kuwa na nguvu.
Tatizo lipo kwa Uturuki na Marekani kunganganua nchi Syria.
Tatizo La Syria lipo kila nchi ya Kiarabu Middle East, ni suala muda kutokea nchi nyingine.

Washia na Wasunni hawawezi kukaa chungu kimoja bila kuchangamshana...

Hata hapa Tanzania tafuta mijadala ya Masheikh wa Kissuni dhidi ya Washia au vice versa, sasa Imagine hiyo Hali kwenye nchi ambayo Serikali ni ya Kishia au Kissuni.
 
Turkey, Israel na USA wote lao Moja hapo syria.ila nimefurahi Russia amenimwagia moto wa kutosha usiku wa kuamkia leo hawa waasi hawana maisha marefu wameanza kulia kuwa Russia ana commit war crimes
Syria lazima itagawanyika usijipe moyo labda kama hujui Geopolitics, next country yenye demographic kama Ya Syria ni Iraq
 
Kabla ya vita mbona huo mgawanyiko unao usema mbona haukuwepo , kuhusu wasuni na washia kusemana mbona wasabato na wakatoliki wanasemana na hakujawahi kuwa na tatizo ndani ya Tz?.
 
Hizi ndio derby sasa

Kobaz vs kobaz.

Huwez sikia neno war crime, Al Jazeera huwezi kuwaona maeneo kama haya, kobaz waliojazana Ulaya huwezi kuwaona wakiandamana ila subiri siku mu Israel akianza kutoa kichapo makelele Kila Kona.

Ndio hapo utakapojua bila unafiki maisha hayaendi.
 
Uko sahihi mkuu na sijasema Urusi kadorora huko Ukraine. Urusi yupo anapambana huko Ukraine lakini katika mapambano yoyote yale kuchoka huwa kupo na kupata hasara au kupoteza Watu , askari Wapiganaji, Mali vitu/vifaa ni kawaida ya Vita.
 
Kabla ya vita mbona huo mgawanyiko unao usema mbona haukuwepo , kuhusu wasuni na washia kusemana mbona wasabato na wakatoliki wanasemana na hakujawahi kuwa na tatizo ndani ya Tz?.
Vita ya Syria ni muendelezo wa Migogoro ya mipaka iliyoanza baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia kuisha...

Nchi za middle east zote zilitakiwa zigawanywe kulingana na Dini na Kabila... Fatilia History ya Syria utakuta Allawites walingia madarakani kwa mapinduzi na Kuanzisha chama kama CCM ambacho kikawa kinaongoza nchi kimabavu
 
Kobazi Ndio SI unit ya Unafiki huko Syria Ndio matu wanauliwa kama Rwanda 1998 lakini hutaona Free Syria
 
Cha pili: Hii ni nukuu.
Picha za satelaiti za baada ya mashambulizi ya Israel zinaonyesha uharibifu wa majengo katika kile ambacho wataalamu wanasema ni kituo kikuu cha kutengeneza silaha kilichopo katika eneo la Parchin, lililopo takriban kilomita 30 (maili 18.5) mashariki mwa Tehran.
Eneo hilo limehusishwa na utengenezaji wa roketi kulingana na wataalamu kutoka taasisi ya kimataifa ya mafunzo ya kimkakati (IISS).
Inaendelea ...Ikilinganisha picha za satelaiti zenye ubora wa juu zilizopigwa tarehe 9 Septemba na picha iliyopigwa tarehe 27 Oktoba, inaonekana kwamba angalau miundo minne imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.....
Waweza kuzipata habari zaidi kwa kutembelea https://www.reuters.com/
 
Usisahau kwamba hapo kuna biashara nyeti kiuchumi inaendelea. NI Kichwa cha mwenda wazimu kila mtu anajifunzia kunyoa.
 
Hivi unajua ukubwa wa sekta ya utengenezaji wa silaha nchini Iran au unaongea ili ujifirahishe?
https://www.iranwatch.org/........The largest industrial group of the Defense Industries Organization (DIO); products include ammunition, mortar bombs, pyrotechnics, anti-tank and sea mines, hand grenades, detonators, brass materials, cutting tools, industrial valves, perforating charges for the oil industry, and other industrial parts; comprised of ten subsidiaries, including Shahid Sattari Industries, Parchin Ammunition Industries, 7th of Tir Industrial Complex, Yazd Metallurgy Industries, Khorasan Metallurgy Industries, Isfahan Ammunition Industries, Shahid Shiroudi Industries, and Shahid Sayyad Shirazi Industries.
1. Hiyo kuitwa ni the largest inamaana vipo na vingine vingi ila sio kwa ukubwa huo wa AMIG.
2. Najua sekta ya utengenezaji wa silaha nchini Iran ni Sekta ya Kibiashara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…