Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .Israel na US na Turkey hao ndio wanataka kumtoa Assad. Afu huyo Tayyip Erdogan anakuambia Shetanyahu ni mshenzi huku kwa nyuma wako pamoja. Yote ili Assad asimamishe kupeleka silaha Lebanon. Yule Erdoğan yeyetarget yake aimeze Halab au kama ijulikanavyo Aleppo
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk