Vita ya Aleppo inaanza tena

Uwezi pigana na mtu mwenye air superiority na uendelee kusonga mbele ni kama israel anacho fanya gaza ndo wanacho fanyiwa hawa wavamizi na Russia na syria army kwa sasa.
 
Jana nimeona kule X wale Waasi wameanza kuchinja mateka wa Vita huku wakisema Shia ni Makafiri.
Isijekuwa ISIS wamerejea kutoka Turkey.
 
Waasi awana akili kabisa wanaenda kama vile nyumbu kwenye misafara.viongozi karibu wote wameshauliwa na mashambulizi ya Warusi.wameanza kurudisha miji na siku si nyingi mji wao wa Idlib utabebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…