Wafungwa humo walikuwa wanawake?
Ongeza Israel anajipigia kila siku,nilisikia marekani wanamiliki visima vya mafta hapo 🏃🏃kama ndio ni mechanism ya mizozo ya vita mashariki ya kati atimuliwe tu madarakani eneo hilo liwe na utulivu na amani. Hiyo nchi sasa imekuwa ya kipuuzi kila taifa linaingia tu kama choo cha wengi na kufanya yake, mara iran, mara urusi, mara uturuki, hapo kweli kuna taifa au ni eneo la mataifa kupigana?
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndo kubwa la magaidi dunianiHao waasi hapo kwa Iran wanatafuta matatizo yani unamletea ugaidi gaidi kubuhu? Sasa hivi litatokea kundi jingine ghafla sana lianze uchinjaji Iran kwa vikundi hajambo
LGBTq mna shida sanaaaHahaha Magaidi wana uwana wao kwa wao, Raha sana hapo hakuna cha UN wala,sijui NATO.
Russia kwa sasa anashida yake huko Ukraine na NATO wan msumbua, msaada kwa Syria unaweza kuwa kigodo sana.
Kila kitu ni opportunity.
Iran huku wana taka kumnenepesha Hezbollah, na Kambi zake za kigaidi nchini Syria zinapata tabu sana, asipopeleka misaada na silaha mapema.
Sijui hapa kwetu msikiti wa MTAMBANI wataamuaje, kwani hatuwezi kupeleka magaidi japo kwa uchache, au ndiyo tuna ile sera ya KUTOKUFUNGAMANA na UPANDE WOWOTE?!
Kama inavyo gawiwa UkraineSyria hajawahi kutulia na Wala haitatulia bila kuigawa hiyo nchi kwenye mapande ya Kidini na kikabila
Kama wanavyo pigana wenyewe kwa wenyewe makafiri wa Ukraine na Russiaati wana dini islam, wanakuambia ni dini ya amani, dini gani hii ya vurugu? Wanapigana wenyewe kwa wenyewe huku umoja wao wa ioc hauna cha kusema wakae kwa amani.
Maeneo ya mataifa kupigana yapo mengi duniani mbonakama ndio ni mechanism ya mizozo ya vita mashariki ya kati atimuliwe tu madarakani eneo hilo liwe na utulivu na amani. Hiyo nchi sasa imekuwa ya kipuuzi kila taifa linaingia tu kama choo cha wengi na kufanya yake, mara iran, mara urusi, mara uturuki, hapo kweli kuna taifa au ni eneo la mataifa kupigana?
Nenda kamkamate AyatollahJamhuri ya Kiislamu ya Iran ndo kubwa la magaidi duniani
Saa hizi yanauana wenyewe hutawasikia wazee wa mtambani wakikemeaHahaha Magaidi wana uwana wao kwa wao, Raha sana hapo hakuna cha UN wala,sijui NATO.
Russia kwa sasa anashida yake huko Ukraine na NATO wan msumbua, msaada kwa Syria unaweza kuwa kigodo sana.
Kila kitu ni opportunity.
Iran huku wana taka kumnenepesha Hezbollah, na Kambi zake za kigaidi nchini Syria zinapata tabu sana, asipopeleka misaada na silaha mapema.
Sijui hapa kwetu msikiti wa MTAMBANI wataamuaje, kwani hatuwezi kupeleka magaidi japo kwa uchache, au ndiyo tuna ile sera ya KUTOKUFUNGAMANA na UPANDE WOWOTE?!
Waislamu wanapenda sn kuisifia Russia wamesahau jinsi alivyowashushia kichapo Waislamu wa Chechniya.. yanayofanyika Ukraine yana tofauti gani na yaliyofanyika Chechniya ?Kama wanavyo pigana wenyewe kwa wenyewe makafiri wa Ukraine na Russia
Kwa hayo maaelezo utafikir iran ni lidude likuuubwa kumbe ni stori tu za pwagu na pwaguziTurkey anajigamba kwakua yuko NATO ila Iran inabidi aogopwe kwa moto wa vijana wao tu hao hizbo ulivyokuwa kiukweli Wairan waki kuamlia show utakua na mtihani mkubwa like the way anashambulia pitia documentary ya hizb hao ni vijana Wairan na walio watoa kamasi IDF ni sio makomandoo ni first level defence team, IDf hakuivuka ya pili ikua advance ya komandos ndio ya mwisho ni Elite Radwan.
Yaaaani una rahisisha mambo we Jamaa... Ila sishangai tunatofautiana uelewa. USA aache kumpa Israel back up apigwe mpaka achakae haitakuja kutokea hata kama pale Ikilu ya white house ya Marekani atakuja Rais mwenye asili ya Iran. Unaujua uhusiano wa USA na Israel? Yaani lile ni tawi la USA pale middle East hasa kipindi hiki ambacho Saudia anapewa presha kubwa na waarabu wenzie kwa namna ambayo amewndelea kuwa na uhusiano na Israel licha ya kadhia inayoendelea Gaza. HIVI UNAELEWA NI KWA NINI KWENYE VIKAO VYENYE HIGH PROFILE VINAVYOJADILI KUHUSU MASLAHI YA ISRAEL YOYOTE PALE MIDDLE EAST LAZIMA AWEPO MKUU WA MOSAD NA DIRECTOR MKUU WA CIA?Netanyahu bado ana hillusion kuwa bado a ananguvu ..siku usa akiona mambo yanazidi kuwa mazito na uchumi unaenda mrama isreli ataachwa hapo ..ukrain pekee imeshaakula resilimali za kutosha za usa na sioni jinsi ya kuzirudisha.netanyahu anafanya hivyo kwa kuwa anajua lazima usa atambackup mambo hayawezi kuwa hivyo kila siku
Uturuki bado hana msuli wa kujibizana na Mrusi au Marekani kwa sasa! Huo msuli hana!Edogan mnafiki sana haeleweki hasira tu hizo tenki yake ya mafuta imetiwa kibiriti na Houth ilikua inaenda Israel kamtishia kuungana na US kule baharini huyo hawezi kuunga Non NATO members wanamtumia watakavyo akina biden
Bwashee US atie mguu pale kama sio dudeKwa hayo maaelezo utafikir iran ni lidude likuuubwa kumbe ni stori tu za pwagu na pwaguzi
Kama inatoka uturuki hivyo vyombo in vya waasi kwahyo asad kazi anayoMido ist bila kuondoka israhell amani waisahau tuuu ila waasi hawa ni suala la muda tu kabla ya kufyekwa ila tu wale mnaosema kama Iran karipuliwa viwanda vya silaha na Russia ana mfupa mgumu acheni utoto na ushabiki Russia juzi hapa kuna mtu pale EU kasema silaha anazozalisha Russia kwa mwezi wao EU ama nato wanazalisha miezi sita ngojeni muone muda huu kuna ndege inatoka turkey to Syria kupeleka vyombo ila watu wanauana asee dah
Maneno tu yale unaweza kuamini kama Meli nzima ya mafuta ilikua inatoka Uturuki kwenda Israel? Bila kuonekana na houth ingeshafika na kuna nyingi tu zimeshaendani kurwa na doto kivipi wakati edorgan huwa anaibwekea israel?
Sasa kenya na wewe ndio wa kumtisha nani hapa bongo??Mlipoanza kumshabikia Putin kupora Crimea bas Erdogan anataka Allepo na China anaitaka Kashmir , mdogo mdogo Kenya ataitaka Serengeti na Kilimanjaro ndipo mtaanza ona umuhim wa kukemea waporaji wa maeneo ya watu
Madrasa ndugu yanguKwa hayo maaelezo utafikir iran ni lidude likuuubwa kumbe ni stori tu za pwagu na pwaguzi