Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

kama ndio ni mechanism ya mizozo ya vita mashariki ya kati atimuliwe tu madarakani eneo hilo liwe na utulivu na amani. Hiyo nchi sasa imekuwa ya kipuuzi kila taifa linaingia tu kama choo cha wengi na kufanya yake, mara iran, mara urusi, mara uturuki, hapo kweli kuna taifa au ni eneo la mataifa kupigana?
Ongeza Israel anajipigia kila siku,nilisikia marekani wanamiliki visima vya mafta hapo 🏃🏃
 
Hahaha Magaidi wana uwana wao kwa wao, Raha sana hapo hakuna cha UN wala,sijui NATO.

Russia kwa sasa anashida yake huko Ukraine na NATO wan msumbua, msaada kwa Syria unaweza kuwa kigodo sana.
Kila kitu ni opportunity.

Iran huku wana taka kumnenepesha Hezbollah, na Kambi zake za kigaidi nchini Syria zinapata tabu sana, asipopeleka misaada na silaha mapema.

Sijui hapa kwetu msikiti wa MTAMBANI wataamuaje, kwani hatuwezi kupeleka magaidi japo kwa uchache, au ndiyo tuna ile sera ya KUTOKUFUNGAMANA na UPANDE WOWOTE?!
LGBTq mna shida sanaaa
 
kama ndio ni mechanism ya mizozo ya vita mashariki ya kati atimuliwe tu madarakani eneo hilo liwe na utulivu na amani. Hiyo nchi sasa imekuwa ya kipuuzi kila taifa linaingia tu kama choo cha wengi na kufanya yake, mara iran, mara urusi, mara uturuki, hapo kweli kuna taifa au ni eneo la mataifa kupigana?
Maeneo ya mataifa kupigana yapo mengi duniani mbona
 
Hahaha Magaidi wana uwana wao kwa wao, Raha sana hapo hakuna cha UN wala,sijui NATO.

Russia kwa sasa anashida yake huko Ukraine na NATO wan msumbua, msaada kwa Syria unaweza kuwa kigodo sana.
Kila kitu ni opportunity.

Iran huku wana taka kumnenepesha Hezbollah, na Kambi zake za kigaidi nchini Syria zinapata tabu sana, asipopeleka misaada na silaha mapema.

Sijui hapa kwetu msikiti wa MTAMBANI wataamuaje, kwani hatuwezi kupeleka magaidi japo kwa uchache, au ndiyo tuna ile sera ya KUTOKUFUNGAMANA na UPANDE WOWOTE?!
Saa hizi yanauana wenyewe hutawasikia wazee wa mtambani wakikemea
 
Turkey anajigamba kwakua yuko NATO ila Iran inabidi aogopwe kwa moto wa vijana wao tu hao hizbo ulivyokuwa kiukweli Wairan waki kuamlia show utakua na mtihani mkubwa like the way anashambulia pitia documentary ya hizb hao ni vijana Wairan na walio watoa kamasi IDF ni sio makomandoo ni first level defence team, IDf hakuivuka ya pili ikua advance ya komandos ndio ya mwisho ni Elite Radwan.
Kwa hayo maaelezo utafikir iran ni lidude likuuubwa kumbe ni stori tu za pwagu na pwaguzi
 
Waarabu hawana akili- wanatumika kama toilet papers - anybody can use them to his/her interests.Hawawezi wakaamua kutulia - na wote ni vikundi vya kiislam..sasa unashangaa dini moja lkn wanatwangana kama hawana akili - huku kuna ISIS, kule Al quida n.k.
Pale mashariki ya kati kuna laana sio bure...
Anzia Israel, Palestina, Lebanon, Syria - majirani zao waarabu wenzao mdo hawaeleweki - nenda Iran..naye full bifu na Saudia - Nenda kwa Turkey - huyu ndo kama Nyoka sasa..anauma na kupuliza..alikua anapiga kelele Israel kuipiga Palestina..wakati huohuo anawork na Israel against Syria - Syria ambaye ni pro Palestina..
Sogea chini kuna Yemen - huko ndo kama hakuna Serikali - Houthi wanaongoza nchi sasa - Shuka Sudan - wameuana mpaka wamekoma...na hawachoki.
NA HIZI NCHI ZOTE HAWAWEZI KABISA KUSOLVE MIGOGORO YAO.
Kuna shida na hizi races za hapo katikati - Wayahudi, Waarabu, Turks, Central Asian Countries...wanashida hawa watu.NO PEACE..THEY ALWAYS LIKE TROUBLES
 
Netanyahu bado ana hillusion kuwa bado a ananguvu ..siku usa akiona mambo yanazidi kuwa mazito na uchumi unaenda mrama isreli ataachwa hapo ..ukrain pekee imeshaakula resilimali za kutosha za usa na sioni jinsi ya kuzirudisha.netanyahu anafanya hivyo kwa kuwa anajua lazima usa atambackup mambo hayawezi kuwa hivyo kila siku
Yaaaani una rahisisha mambo we Jamaa... Ila sishangai tunatofautiana uelewa. USA aache kumpa Israel back up apigwe mpaka achakae haitakuja kutokea hata kama pale Ikilu ya white house ya Marekani atakuja Rais mwenye asili ya Iran. Unaujua uhusiano wa USA na Israel? Yaani lile ni tawi la USA pale middle East hasa kipindi hiki ambacho Saudia anapewa presha kubwa na waarabu wenzie kwa namna ambayo amewndelea kuwa na uhusiano na Israel licha ya kadhia inayoendelea Gaza. HIVI UNAELEWA NI KWA NINI KWENYE VIKAO VYENYE HIGH PROFILE VINAVYOJADILI KUHUSU MASLAHI YA ISRAEL YOYOTE PALE MIDDLE EAST LAZIMA AWEPO MKUU WA MOSAD NA DIRECTOR MKUU WA CIA?
 
Edogan mnafiki sana haeleweki hasira tu hizo tenki yake ya mafuta imetiwa kibiriti na Houth ilikua inaenda Israel kamtishia kuungana na US kule baharini huyo hawezi kuunga Non NATO members wanamtumia watakavyo akina biden
Uturuki bado hana msuli wa kujibizana na Mrusi au Marekani kwa sasa! Huo msuli hana!

Ila amekaa sehemu ya ki stratejia!

Kuna kipindi alileta makeke kwa Urusi alichofanyiwa wanajeshi wake walitiwa sana kiberiti Syria.
 
Mido ist bila kuondoka israhell amani waisahau tuuu ila waasi hawa ni suala la muda tu kabla ya kufyekwa ila tu wale mnaosema kama Iran karipuliwa viwanda vya silaha na Russia ana mfupa mgumu acheni utoto na ushabiki Russia juzi hapa kuna mtu pale EU kasema silaha anazozalisha Russia kwa mwezi wao EU ama nato wanazalisha miezi sita ngojeni muone muda huu kuna ndege inatoka turkey to Syria kupeleka vyombo ila watu wanauana asee dah
Kama inatoka uturuki hivyo vyombo in vya waasi kwahyo asad kazi anayo
 
Mlipoanza kumshabikia Putin kupora Crimea bas Erdogan anataka Allepo na China anaitaka Kashmir , mdogo mdogo Kenya ataitaka Serengeti na Kilimanjaro ndipo mtaanza ona umuhim wa kukemea waporaji wa maeneo ya watu
Sasa kenya na wewe ndio wa kumtisha nani hapa bongo??
 
Back
Top Bottom