Vita ya Aleppo inaanza tena

Hivi nyinyi hamuwezi kujadili dini bila kuingiza kejeli na kashifa za kidini?
Hivi watz tuna matatizo gani?
 
ati wana dini islam, wanakuambia ni dini ya amani, dini gani hii ya vurugu? Wanapigana wenyewe kwa wenyewe huku umoja wao wa ioc hauna cha kusema wakae kwa amani.
Acha ujinga hivyo ni vita ya kimaslahi kati ya mataifa makubwa kwa sababu Syria ipo kwenye eneo la kimkakati hakuna uhusiano wowote na dini.
Mbona Urusi na Ukraine wanauwana na wote ni waothodox lakini hujawahi kuhusisha mgogoro wao na dini?
Hivi nyinyi waisilam walisha wafanya nini mbona mmejaa vinyongo dhidi yao?
 
Unajuwa kuwa aliyeiharib nchi ni Assad , Assad aliua mtu kweny maandamano yaliyopelekea Hali kuwa hv ilivyo Leo na bado mnaona ni sahihi Syria kuongozwa ni muuaji
Tanzania mnaongozwa na watu gani?.
 
Urusi hawezi peleka wanajeshi wake huko, kwasasa Putin anauhitaji mkubwa wa wanajeshi kwenye vita vyake na Ukraine kuliko wakati mwingine, na hata ikitokea atapelekwa wachache sanaa,
Weka sababu yoyote unadhani ndio itafanya Russia asiende kusaidia!! Lkn mm nakuakikishia RUSSIA aitokubali kuanguka kwa serikali ya Assad Wanasababu nyingi sana za kuilinda SYRIA lkn pia usidanganyike kuwa Russia aina Wajeda wakupigana kwakuchukua Wajeda w korea Hii ya kuchukua Wajeda ipokimkakati zaid sio vile unadhani!!! Moja ya Sababu wanataka washilika wake wapate uzoefu Vitani mfano kizazi cha Wajeda wasasa wote w Korea awajawai kupigana vita ndio mn korea kusini ilichukia kusikia N korea wamepeleka wajeda Russia wanajua wenzao wanaenda kwenye mafunzo yajuu kivitendo yenye Hatari harisi. Usidhani tu Russia kaishiwa ata ukisikia IRAN kapeleka Missile Ressia jua ivyo Iran ndio kaomba ikatest Tec yake kwenye Air DF ya West marekani na West wanajua ivyo wanachukia sana kujua washilika wa Ressia wanapata Uzoefu na kutest vitu vyao,,, lkn sasa marekani aiwezi sema ilo la kweli kivita aipo ivo hii Vita watu wanakufa pande zote ,, sasa kipropaganda itabidi waseme Russia kaishiwa Wanajeshi Russia anategemea Misile za Iran hii ni propaganda dogo jiongeze kichwani kidogo. RUSSIA ni dude kubwa sana ndio mana wamejikusanya lkn wapi Tegemea vita upya apo Syria lkn west awashindi iyo vita wanaopigana apo ni wajeda w West pamoja na Uturuki lkn kwenye picha utaoneshwa Waarabu ndio ilivo kimikakati ya jeshi. Kwasasa majibu tumepata Hezboollah kukubali kusimamisha mapigano kule na Israel kulichangiwa na ukweli huu w Syria yumkin walishapata fununu ya kuzuka vita Syria na niwao tena ndio tegemeo kule syria sasa unaweza pata picha West waliratibu alaka hii vita ya Syria ili kumuokoa Israel mana ilishakuwa piga nikupige piga nikupige ndio utaona Marekani ataki kuondoka Syria Yupo pale kimkakati.
 
Cha kwanza nakubaliana na wewe ila Cha pili hakuna kiwanda Cha silaha Cha Iran kilicholipuliwa mkuu.
It is nearly impossible kulipua tunnels za silaha za Iran.
Na takriban Kila mji Kuna tunnels za kuunda na kuhifadhi silaha ndani ya Iran.
Iran ana stock kubwa sana ya silaha.
Labda useme Kwa namna mzozo ulivyo umewabana Iran na Russia kusaidia.
 
lazima tushangae inakuaje waislam kwa waislam wapigane? Hao waothodox wa urusi na ukraine wanabondana kutokana na mmoja kuwa upande wa magharibi akitumiwa kumdhoofisha mwenzake. Urusi hataki ukuda huo anaamua kumuadhibu ndugu yake kwa kukaribisha maadui karibu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…