Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

Iran na Russia kweli hawawezi kukubali Utawala wa Assad uanguke lakini hawana jinsi.
1. Kumbuka Russia anamenyana huko kwake na Ukraine -na hali sio poa kwa Russia katika vita hiyo. Hali ni tete kiasi kwamba Russia ameanza kuokoteza au kubangaiza wapiganaji mamluki e.g. Houthis, N.Korea n.k.
2. Kumbuka Juzi kati hapo viwanda vya kutengeneza silaha vya Iran vilishambuliwa na kuharibiwa na (IDF) Israeli. Kwa mantiki hiyo Iran imepungukiwa na uwezo wa Utoaji wa misaada ya Hali na Mali (silaha na mafunzo)kwa makundi ya kigaidi na hivyo uwezo wake kumsaidia Asad pia nao umepungua.
Ni katika mtizamo huo Bwana Asad wa Syria atakuwa na wakati mgumu sana.
Hivi unajua ukubwa wa sekta ya utengenezaji wa silaha nchini Iran au unaongea ili ujifirahishe?
 
Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara kuu ya Damascus-Aleppo.

Kwa mara ya kwanza tangu 2020, mapigano makali yamezuka nchini Syria. Vikosi vya serikali vinatoa upinzani dhaifu. Waasi wanasonga mbele kwa kasi, na vikosi vya Assad vimeshindwa kuwazuia, vikijiondoa vyenyewe maeneo

Wakati wa mapigano karibu na Aleppo, mshauri wa kijeshi wa Iran, Jenerali wa IRGC Kiyumars Pourhashemi, aliuawa. Shughuli mpya za waasi zimechochewa na kushindwa kwa Hezbollah na Israeli na kupelekwa tena kwa vikosi vya Urusi vilivyokuwa syria Ukraine. Dikteta wa Syria Bashar al-Assad amepanda ndege haraka kwenda Urusi kwa mashauriano na Putin.

Kulingana na ripoti ambazo hazijathibitishwa, makumi ya wanajeshi wa Urusi kutoka kwa "PMC ya Wagner" wameuawa wakati wa mashambulizi ya waasi, na baadhi , ya silaha na usafiri wa Urusi zimekamatwa. Waasi wanabomoa picha za Bashar al-Assad na alama zinazohusishwa na Urusi. Wametangaza kuwa maadui wao wakuu ni WaIrani na Warusi, wanaounga mkono utawala wa Assad.

View attachment 3165135
Ritz Adiosamigo Malaria 2 huku tena kumekucha tunafanyaje sasa?
 
Mlipoanza kumshabikia Putin kupora Crimea bas Erdogan anataka Allepo na China anaitaka Kashmir , mdogo mdogo Kenya ataitaka Serengeti na Kilimanjaro ndipo mtaanza ona umuhim wa kukemea waporaji wa maeneo ya watu
Astaghafilulah sheikh mswalie mtume
 
Hivi unajua ukubwa wa sekta ya utengenezaji wa silaha nchini Iran au unaongea ili ujifirahishe?
Anajifurahisha watu juzi wameapprove bajeti ya ulinzi tu kwa 200% hajui kua sisi hapa Tanzania kama unavyosafiri kutoka dar mpaka bukoba juu ya ardhi Iran na miji ya distance hio ardhini anaiita under ground cities huko kwa majeshi tuu na productions ya madubwasha anasema anayafytua kama pipi.
Nana wanajenga treni ya ardhini itakayounganisha na hospitali ya Imam Khamenei
 
Back
Top Bottom