Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Yaani pale ndio niliona hawa watu wanatufanyia mchezo wa kingese tu
Vipi kuhusu ya kumtumia konk konk konk master hao WCB kwajili ya kuwaponda CMG imekaje mkuu.Au huyo konk konk konk katumwa na boss wao mmoja kuichafua CMG kuhusu amber rooting?
 
Mbona ratba za clouds zilikuwepo hivyo since fiesta ianze.
 
Unawajua wenye hisa za Wasafi tv mkuu?
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Double Kick ndio habari ya mjini😂
 
Wasafi habari nyingine ww..Simba mwenyewe anatosha
 
hapo patamu


huo ndo uanaume



huo ndo ubabe


huko tunaita kutunishiana misuli



wasanii wapo kikaangoni
 
Wadogo zangu kama mnapenda starehe basi jifunzeni kunywa bia, kutizama filamu Kali, kusikiliza mziki mzuri, kwenda club siyo kwenda kwenye huo upuuzi sijui fiesta sijui wasafi nini kwanini nasema hivyo

Tasnia ya burudani ya matamasha Tanzania yangu ianze kukuwa na kupata wadau huu ni mwaka wa ishirini sasa ajabu wadau hao wamatamasha na wasanii hawataki kubadilika yani jambo uliloliona miaka kumi iliyopita kwenye tamasha furani ndio hill hill pamoja na kukuwa kwa sayansi na teknolojia bado wadau hawa wanageuza watanzania wajinga

Wanaandaa matamasha promosheni kibao ukienda kwenye tamasha ujinga ule ule play back nyingi, wasanii hawana ubunifu stejini yani mambo ni Yale Yale

Ndio maana nawashauri mnywe bia, muende club ina maana siku ukimis bata zuri unatafuta kiwanja kizuri kwenye DJ mzuri unaenda kufurahi, siyo kwenda kusimama uwanjani uku unambiwa piga kelele maua sana anapanda unakuwa na hamu kuona itajuwaje akiimba ule wimbo, gafla unaishiwa pozi maana atakachokifanya jukwaani utatamani ashuke usikilize wimbo tu.
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Kingine kilichoipotezea konyagi hadhi ni unukaji wa mdomo asubuhi kama choo wakati K Vant hakuna maharufu ya ajabu
 
Ila sauti kafanana na B12, mwanzo nilijua ni yeye
Yeah kweli bosi unaweza kuwafananisha.
Pia jamaa alikuwa anatengeneza Jingle nyingi sana pale CMG .Kuna kipindi mda kidogo Mchomvu na dozen walizinguaga XXL alikuwa anashikilia yeye
 
usilzimishe watu wafanye kile utakacho wewe,huo ni ushamba.
 
Pesa kuna sehemu nyingi tu wanapata hawa wenye media sio mpaka za viingilio vya mlangoni,majizzo mfano kwenye hili free entrance na unakula wese bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…