pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Mkuu kusaga sio sehemu ya wasafi ila alikuwa ni sehemu moja wapo ya waalikwa huenda watu haeajui ila majizzo ka play sehemu kubwa kwenye kufanikisha mzigo unakuwa hewani ila ndio haonekani sana trust me au kama unaweza mpata tare mchombeze chombeze atakupa storyClouds na WCB huwezi kuvitenganisha na Kusaga... Huu ni mkakati maalum wa kuiua EFM na TV. Na kwa kiwango flani naona wanaelekea kuwin. Mandezi wa pori hawawezi kuelewa huu mcezo. Ndo maana me nikiona hii ligi ya mawingu na wcb naanza kula popcon huku nikitabasam.