Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Clouds na WCB huwezi kuvitenganisha na Kusaga... Huu ni mkakati maalum wa kuiua EFM na TV. Na kwa kiwango flani naona wanaelekea kuwin. Mandezi wa pori hawawezi kuelewa huu mcezo. Ndo maana me nikiona hii ligi ya mawingu na wcb naanza kula popcon huku nikitabasam.
Mkuu kusaga sio sehemu ya wasafi ila alikuwa ni sehemu moja wapo ya waalikwa huenda watu haeajui ila majizzo ka play sehemu kubwa kwenye kufanikisha mzigo unakuwa hewani ila ndio haonekani sana trust me au kama unaweza mpata tare mchombeze chombeze atakupa story
 
unaposema waalikwa una maana gani mkuu?
 
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Hivi ukiambiwa uchague kwnda kuwaina bilnas, venessa, aslay, jux etc. Hapa kuna diamond, mbosso, harmonize utaenda wapi? Naona jibu unalo mkuu hapo
 
Hivi ukiambiwa uchague kwnda kuwaina bilnas, venessa, aslay, jux etc. Hapa kuna diamond, mbosso, harmonize utaenda wapi? Naona jibu unalo mkuu hapo
obviously hata wewe jibu unalo😂
 
Tamasha litakuwa pouwa kama wataweka wanamuziki wa kweli. Karaoke (bongo fleva) ni maigizo ya walevi na watoto.
 
Mbona tr hiyo Kiba naye yuko Kahama?
Wasafi ndio wamekamatilia. Time will tell
 
Back
Top Bottom