Vita ya Chalamila dhidi ya madanguro Dar ina viashiria vya ubaguzi

Chanzo kinasema Chalamila alinyimwa Uroda na dada poa alitaka bure kwa kuwa yeye ni kibopa,alighadhabika mno baada ya kunyimwa uroda
 
Hii vita italeta maendeleo yoyote katika mkoa? Hii biashara imekuwapo tangu enzi na enzi, binadamu tunakufa tunaiacha kiendelea. Hii biashara inatakiwa iwekewe utaratibu mzuri, siyo kila mwanaume aliyeumbika kikamilifu ana mahali pa kutuliza usumbufu wa akili unaoletwa na kukosa jinsia ya kike. Hawa wanaume wasiokuwa na wenza wataenda wapi kupata hii huduma nyeti sana. Kama Mungu amekujalia wewe kuwa na mwenza wako mshukuru Mungu, lakini usiwabanie wenzako.
 
Ndiyo maana Nyerere anaitwa Baba wa Taifa.Ujumbe mzuri mno huu,tujitahidi kuzingatia haki za wengine kuishi hata kama ni chukizo kwetu maana wameamua kuishi hivyo.Kikubwa ni kutoa elimu kuhusu faida na hasara ya hao madada poa pia kujitahidi kuwaombea ili siku moja waachane na hiyo biashara.
 
sawa kbs angeanzia Belmont aende palm beach sea cliff mitaayote ya Obay
 
Mwambieni Chalamila asiwaonee maskini wanaochukua buku tatu kwa raundi ya kawaida na tano huko kwingine.

Kama yeye mlume kweli a deal na wanaofanya kwenye mtandao na wa barabarani wanaouzia kwenye chocho au kwa babu.
Asichokijua ni kwamba sikuizi watu waNtongozana kwa mitandao.
Badala ya kuhangaika na issue serious kama za mgao wa umeme na kupanda kwa nauli na foleni zisizoisha unaanzq ku deal na mambo madogo kama hayo?????
 
kama amewatafutia biashara ya kufanya sawa.. lakini kama hawana hao wamama wakamfuate nyumbani kwake awape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…